Gari ya Mbunge Taufiq Turky yapata ajali, ina thamani ya milioni 900

Gari ya Mbunge Taufiq Turky yapata ajali, ina thamani ya milioni 900

Gari ya bei ghali, simu ya bei ghali ni ufahari mtupu! Vitu hivi havina maisha marefu bora ujenge nyumba utazeeka na kuiacha mpaka vilembwekezi watarishishana
Nyumba haitembei,nyumba haiendeshwi, nyumba haikupi mawasiliano kama simu, na cha zaidi ni kuwa masikini na tajiri wanatofautishwa na vitu vingi mno, hasa wanavyovimiliki.
 
Ukiona mtu anatembelea gari kuanzia mil 300 kaa nae mbali.. ana hela ya kutosha.

Hiyo ni gari tu hujagusa nyumba anayolala..

Bado chenchi zilizobaki Bank.

Tutafute hela wengi wetu humu tunasukuma mipira ya mil 10-20 tunaviiimba kinoma.
Mimi nakuongezea ukiona Muhindi au Mwarabu anatembelea gari ya 300m muogope ila ukiona mswahili mbongo hata gari ya 300m usishtuke. Mbongo anaweza kupata deal ya 350,000,000 akanunua gari ya 340m. Wapo wengi watoto wa mjini gari kubwa hata insurance au matairi ikiisha mgogoro
 
Back
Top Bottom