Mbunge anagawaga hela,mchele, mafuta na nyama siku ya idi jimbo zimaNiliona mahojiano yake juzi akiwa nyumbani kwake,jamaa anaishi kidoni sana.
Kuna Disco la m'bunge liliungua likua na iyo danganya trafiki.Utashangaa hio ina Bima ya 118,000/-
Inabidi watengenezewe Barbara zaoMambo hayo, una gari yako nzuri alafu unakwanguliwa na li daladala au bajaji, tena sometimes wanakimbia kabisa.
Wengi tu wenye magari makali wanaweka 118,000. Kama hio thamani yake 900m inamaana comp insurance si chini ya 27mKuna Disco la m'bunge liliungua likua na iyo danganya trafiki.
Noma sana.....pesa nomaNiliona mahojiano yake juzi akiwa nyumbani kwake,jamaa anaishi kidoni sana.
Natumaini hakuna aliyejeruhuwa.TUNAMTAKIA POLE NA TUNATUMAI ATAKUA HAKUUUMIA.
Ndivyo alisema?Kumbe uliona story zake na vile alikuwa analipamba kwa maneno ati likipata ajari hawezi kulala .
Mungu si mwanadamu
Sio ushamba. Waliotengeneza hayo magari ndio wenye huo utamaduni alafu yeye alifuatwa tu na kuombwa aoneshe maisha yake ya nyumbani.mwisho wa hiyo interview ameeleza kwanini alikubaliPesa ipo wacha itumike
Ila ni ushamba Sana kuonyesha Mali yako mtandaoni utapata attention isiyo na maana
Na inaonekana ilikua impact kubwa sana, G wagon kusagwa hivy kweli, au mtumba?Kurekebisha hiyo chuma, unanunua hivi vi BEBIWOKA vyetu
V8 sio gari, ni engineGari ya 900m. kwa kipi hasa hapo, ….900mil. si bora uvute V8 mbili mpya
Nilikwangua Vx na boda juzi nilikua napenya penya aweeee moto nlowashaaaa nikaenda lala mazima.Yeye, konda, abiria, wapiga debe, trafiki wote walikimbia inasemekana