FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Sawa, wacha tunujue engine hizo..V8 sio gari, ni engine
Sawa, wacha tunujue engine hizo..V8 sio gari, ni engine
Huyo mbunge anaitwa nani na mpemdae ni wapi, Kenya au Tanzania?Gari ya Mbunge wa Mpendae yadaiwa kupata ajali, ina thamani ya milion 900
TUNAMTAKIA POLE NA TUNATUMAI ATAKUA HAKUUUMIA.
View attachment 3025067
View attachment 3025068View attachment 3025069
zingatia neno G-Class/ G-wagon kabla ya kutaja toyota iwayo yoteGari ya 900m. kwa kipi hasa hapo, ….900mil. si bora uvute V8 mbili mpya
Sasa wabaki wafanyaje hao maskini hata boksa wanashindwa kununua , ndio wataenda kutengeneza G 63?Mambo hayo, una gari yako nzuri alafu unakwanguliwa na li daladala au bajaji, tena sometimes wanakimbia kabisa.
Mpendae ni jimbo la Zanzibar.Mpendae ni wapi?
Na huyu jamaa ameumia katika ajali?
Kuna watu maisha wanayatendea haki hakika. Hawaishi kusindikiza wengine bali wao ndio miongoni mwa wanaosindikizwa hapa duniani😊Gari ya Mbunge wa Mpendae yadaiwa kupata ajali, ina thamani ya milion 900
TUNAMTAKIA POLE NA TUNATUMAI ATAKUA HAKUUUMIA.
View attachment 3025067
View attachment 3025068View attachment 3025069
Na inaonekana ilikua impact kubwa sana, G wagon kusagwa hivy kweli, au mtumba?
Kwa hiyo avute Engine za 64m atapata nyingi sana hapo 1Vd FT double turbo...V8 sio gari, ni engine
Huyo ni MWANASIASA!Mbona sioni gari ya 900 M hapo
Tajiri aliwezaje kuchaguliwa na masikini walio hoi ambao hawawezi kupata milo miwili kwa siku! Tanzania nchi iliyolaaniwa.Gari ya Mbunge wa Mpendae yadaiwa kupata ajali, ina thamani ya milion 900
TUNAMTAKIA POLE NA TUNATUMAI ATAKUA HAKUUUMIA.
View attachment 3025067
View attachment 3025068View attachment 3025069
Sasa Zanzibar jimbo zima ni sawa na mtaa huku Tanganyika.Mbunge anagawaga hela,mchele, mafuta na nyama siku ya idi jimbo zima
G-Wagon inafika na kuzidi kutegemea modelMbona sioni gari ya 900 M hapo