Gari ya Mbunge Taufiq Turky yapata ajali, ina thamani ya milioni 900

Gari ya Mbunge Taufiq Turky yapata ajali, ina thamani ya milioni 900

Mpendae ni wapi?
Na huyu jamaa ameumia katika ajali?
Huyo mbungew anaitwa nani na mpemdae ni wapi, Kenya au Tanzania?

Sasa hiyo ni ajali ya kuripoti mitandaoni, si kapigwa pasi tu huyo? Au nia yako ilikuwa kuitaja hiyo million 900?

Punguwani waheda.
Mpendae ipo Zenji
 
Hizo gari ni usd 143,000 hadi 147,000 sawa na Tsh 390,000,000 hadi 420,000,000 kutegemeana na exchange rate.
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imesema kampuni ya mifuko Turky inayomilikiwa na mfanyabiashara na Mbunge wa Mpendae CCM, Toufky Salim Turky, imewasilisha maombi ya kutaka tathimini ya deni la kodi ya gari la kifahari aina ya Benzi la Tsh.milioni 308.5
 
Milioni 900 duuh hizi thamani za magari mnazitoa wapi au mnasikiliza watu wa Tamisemi na bajeti yao ya kutuibia nanyi mnatembea nayo...


Tra walichota kodi over 300mn
 
Milioni mia tisa ni hela ya mstaafu wa ngazi gani? Hizo hela unajenga nyumba kali ya kuishi itakayodumu miaka zaidi ya mia moja lakini zimeteketea kwa muda mfupi! Hii ni kufuru
Atalipwa na BIMA,hata hivyo hiyo gari haujateketea,labda kama mleta taarifa kachukua picha ya gari jingine
 
Back
Top Bottom