Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,510
Jimbo la mpendae liko bara au kule kwingine?
I didn't knew??????Turky is super rich, i didnt knew !
I revert my statement, wazee tafuteni hela ndio jibu la kila kitu.
Mbinguni ni hapa hapa duniani, huko mbinguni hakuna magari wala mademu , hakikisha kila kitu unakipata hapa.
Fedha ya kuinunulia ilipatikanaje?Gari ya Mbunge wa Mpendae yadaiwa kupata ajali, ina thamani ya milion 900
TUNAMTAKIA POLE NA TUNATUMAI ATAKUA HAKUUUMIA.
View attachment 3025067
View attachment 3025068View attachment 3025069
Gari ikipata shida ndg tu hata ya betri inalala ndani nusu mwaka 😅Mimi nakuongezea ukiona Muhindi au Mwarabu anatembelea gari ya 300m muogope ila ukiona mswahili mbongo hata gari ya 300m usishtuke. Mbongo anaweza kupata deal ya 350,000 akanunua gari ya 340m. Wapo wengi watoto wa mjini gari kubwa hata insurance au matairi ikiisha mgogoro
Watu wanahela jamani.. 🙌 mie mkandarasi wa Buza tu kumpa tender najifkiria..Nyumba anayokaa hatari sana, ilijengwa na kampuni kutoka Italy! Hapa ndiyo nilijua ule msemo huu
"Usiseme tuna shida, sema nina shida"
wale jamaa wa upinzani.wanasema kamilikishwa bandari Ya ZanzibarFedha ya kuinunulia ilipatikanaje?
Unamaanisha wana ndege?Mpendae ni jimbo la Zanzibar.
Huyu Baba yake ndiye alitoa ndege iliyompeleka Lissu Nairobi siku aliyoshambuliwa Dodoma.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yeye, konda, abiria, wapiga debe, trafiki wote walikimbia inasemekana
Jamaa wana hela , nawafahamu vizuri sana hawa ndiyo wapinzani halisi wa Azam group of companies, kama baba yao angeendelea kuwepo naamini.wale jamaa wa upinzani.wanasema kamilikishwa bandari Ya Zanzibar
Nachozungumza hiyo gari sio ya thamani hiyo kwa sababu ni toleo la zamani hao watu wanakwepa kodi gari hiyo inakua na thamani ya kununua na kubeba...ha ha ha, mdogo wangu, kwa watu wanaojituma hii ni hela ya mboga tu, kama alivyosema mama tibaijuka.
Hiyo hela unapata mbili na chenji inabaki za 2024 sema hela yetu watu wanajitamkia kiasi chochote tu kwenye magari kwa sababu Mwalimu alisema ni Anasa..kasema ya mwaka 2023 huenda kuchangamka kwa dollars
Mkuu, mbona kaandika maoni yake ambayo wala hayana ukakasi wowote. Hakusitahili matusi kama hayo. Unless wewe ni Turkey mwenyewe.We Bi Ajuza kikongwe nilikua nakuheshimu lakini kumbe ni mpumbavu tu, unawashwa huna mtu wa kukukuna , you witless worm, clumsy old fool, hopeless deluded idiot
Mkuu sijui hio ya Mbunge ni version ipi. ila900m za Kitanzania ni Rand milioni 6 hiyo ni gari ya Rand 1.5m mpaka Rand 2m ndugu yake na Rand Rover na Cayenne wanacheza humo....
SA, UK , USA utapata mbili ila TZ ikishafika tu TRA wanakula kama bei ulionunua.Hiyo hela unapata mbili na chenji inabaki za 2024 sema hela yetu watu wanajitamkia kiasi chochote tu kwenye magari kwa sababu Mwalimu alisema ni Anasa..
Ukinunua mia mbili themanini ukalipa kodi mia tatu inabaki ngapi hapo mkuu..SA, UK , USA utapata mbili ila TZ ikishafika tu TRA wanakula kama bei ulionunua.
Hiyo ni mfanyabiashara Tajiri ,Wala sio shida kwanza Bima italipaGari ya Mbunge wa Mpendae, Taufiq Turky yadaiwa kupata ajali, ina thamani ya milioni 900
Tunamtakia pole na tunatumai atakuwa hajaumia.
Brand new G63 ni $183.000 hio 280 ni ipi?Ukinunua mia mbili themanini ukalipa kodi mia tatu inabaki ngapi hapo mkuu..
Hizo gari sio kwamba watu hawaleti wanazileta sana hapo mwezi uliopita pana mtu alileta hizo tatu na aina zingine kadhaa alipakia kwenye Truck zilikuwepo hapo Tunduma siku kadhaa sijui kama zishatoka..SA, UK , USA utapata mbili ila TZ ikishafika tu TRA wanakula kama bei ulionunua.
Zipo ndio ninachosema kama mtu kanunua mpya G63 pamoja na ushuru inafika 900m. Kama used na spec za kawaida itakuwa bei nafuu.Hizo gari sio kwamba watu hawaleti wanazileta sana hapo mwezi uliopita pana mtu alileta hizo tatu na aina zingine kadhaa alipakia kwenye Truck zilikuwepo hapo Tunduma siku kadhaa sijui kama zishatoka..
Kama ni chini ya usd 200 ni ya kawaida tu...Brand new G63 ni $183.000 hio 280 ni ipi?