Gari yako ukiweka lita nane (mafuta ya 20,000) inatembea KM ngapi?

Gari yako ukiweka lita nane (mafuta ya 20,000) inatembea KM ngapi?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Yangu inatembea km 70 full AC, foleni za Dar es Salaam
 
Hilo swali halija kamilika naona wengi mnakurupuka kasoro mmoja, nawasiwasi kamamnamiliki magari....au mnatumia za wazazi wenu au Ndugu huwezi kujibu bila kujua mafuta ya diesel au petroli gari yenye engine cc 2500-3900 au hizi baby walkers cc 1200-1600. au ya mzigo fuso au trailer, Unaendeshea wapi rough road au rami.....ndo utajua Consumption ya gari lako
 
Yawezekana ukawa una point ya msingi..lakini uwasilishaji wako umekaa kimajivuno si unajua JF ukitaja gari unaonekana unaringa!
 
Nikiishi Dar sitaendesha gari kabisa. This will be my car

images%20(1).jpg
 
mleta mada kwa MPG hyo bila shaka engine ya gari yako itakuwa inarange 2.0 ltr -2.5 ltr.

na chengine huwezi linganisha consumption ya gari yako na nyingine bila kusema unatumia gari gani na engine gani?

kama hapo mm kwa uzoefu nimeweza kujua hyo gari itakuwa ipo kwenye 2.0 engine hadi 2.5 ltr engine kutokana na ulaji huo wa mafuta

sasa huwezi fananisha na mtu mwenye gari ya 1.3 ltr engine hadi 1.6 ltr engine maana huyu per 1 ltr anaweza kwenda mpaka 13 km kwa town route with AC ON kama gari ipo in good condition..

sasa huyu wa 1.3 ltr engine ukimpa ltr 8 anaweza piga mpaka km 104

so ili ufanye mlinganisho vizur ni bora utaje aina ya gari na engine.. maana kuna gari same model ila zinatumia engine tofauti

MF- mark X kuna ya 2.5 ltr 4gr-fse V6
mark X ipo pia ya 3.0 3gr-gse V6

ni same model but different engine code and capacity so hata MPG zitakuwa zimepishana

embu tuambie unatumia gari gani na yenye engine gani ili wadau watiririke
 
Mimi yangu ni volkswagen polo, kwa mafuta ya 20,000 natembea km 44

Mkuu embu nenda kafanye computer diagnosis haraka... huo sio ulajinwa kawaida kwa hyo gari yako..

nazijua polo vizuri sana engine yake ndogo kabisa ni 1.2 ltr na kubwa kabisa ni 2.0 ltr

sasa huo ulaji ni wa gari yenye cc 3000 na kuendelea

yani 6.2 km per lita kwa gari kama polo ni kujipa gharama za landcruiser 200 series V8 wakati unatakiwa utumie mafuta kama ya premior

embu kafanye diagnosis utaleta mrejesho huo sio ulaji wa kawaida kwa gari ndogo kama hyo yenye engine isiyozidi cc 1950

huo ni ulaji wa gari yenye cc 3000 na kuendelea kwa natural aspirated engines na ni ulaji pia wa gari yenye cc 2000 turbocharged tena liwe lina boost kubwa sana ndo litakula hivyo
 
Back
Top Bottom