Gari yako ukiweka lita nane (mafuta ya 20,000) inatembea KM ngapi?

Gari yako ukiweka lita nane (mafuta ya 20,000) inatembea KM ngapi?

Mnanipa hamasa yakununua BMW wakuu kwa wadau waliopita wamechambua vyema sana
 
Mkuu embu nenda kafanye computer diagnosis haraka... huo sio ulajinwa kawaida kwa hyo gari yako..

nazijua polo vizuri sana engine yake ndogo kabisa ni 1.2 ltr na kubwa kabisa ni 2.0 ltr...
Kwa Dar ni sehemu gani nzuro wanafanya hii dignosis. Nina Grand Vitara CC 2000 inakula 6km/lt kwa safari za hapa mjini
 
Niliwahi kuwa na Zx cruiser 2014 petrol cc 4600 lita 1 inaenda km hapo 4 hapo kwa safar kwa mji ka dsm inaenda km 3.
 
Yangu inatembea km 70 full a. c, foleni za daslamu
Mimi 20000 Lita kama 8 na point inatembea km 60 nikiforce au bila foleni au masafa km 70

Foleni ikibamba full ac natembea km 50 tu ,nahisi ni abnormal eti Kwa cc 1990?
 
Niliwahi kuwa na Zx cruiser 2014 petrol cc 4600 lita 1 inaenda km hapo 4 hapo kwa safar kwa mji ka dsm inaenda km 3
Niliwahi kuwa na Zx cruiser 2014 petrol cc 4600 lita 1 inaenda km hapo 4 hapo kwa safar kwa mji ka dsm inaenda km 3
Mk hapo ya elf 50 unaenda km 60 approx ?au 70 mwisho,da...parefu kwangu
 
Sawa, mchawi wa gari wese, nilichogundua kipindi hiki daladala zimepata wateja sana.
 
sisi wa Aud A8 cc 4200 V8 hayo maswali huwa hatuulizi
 
Rami-Lami
Hilo swali halija kamilika naona wengi mnakurupuka kasoro mmoja, nawasiwasi kamamnamiliki magari....au mnatumia za wazazi wenu au Ndugu...huwezi kujibu bila kujua mafuta ya diesel au petroli gari yenye engine cc 2500-3900 au hizi baby walkers cc 1200-1600. au ya mzigo fuso au trailer, Unaendeshea wapi rough road au rami.....ndo utajua Consumption ya gari lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusio na magari tukicomment tutaambiwa tunataka kuleta fujo ni kama mtu ambaye ana hela anataka kuongea kwenye kikao cha ukoo
 
Back
Top Bottom