Gari yako ukiweka lita nane (mafuta ya 20,000) inatembea KM ngapi?

Gari yako ukiweka lita nane (mafuta ya 20,000) inatembea KM ngapi?

Kwa Dar ni sehemu gani nzuro wanafanya hii dignosis. Nina Grand Vitara CC 2000 inakula 6km/lt kwa safari za hapa mjini
Vipi mkuu, umeshatatua hili tatizo?

Hata mimi nina tatizo kama lako, gari yangu ni suzuki engine J20A cc1995, kwa mjini inatembea 5km kwa lita, safari ndefu 10km kwa lita.

Nahisi kuna tatizo.
 
Vipi mkuu, umeshatatua hili tatizo?

Hata mimi nina tatizo kama lako, gari yangu ni suzuki engine J20A cc1995, kwa mjini inatembea 5km kwa lita, safari ndefu 10km kwa lita.

Nahisi kuna tatizo.
Nilibadilisha plug.. kuna slightly improvement.. lkn sio .. kivile.. bado naona inakula
 
Nilibadilisha plug.. kuna slightly improvement.. lkn sio .. kivile.. bado naona inakula
Hata mimi kuna vitu nimeelekezwa kurekebisha.
-Oxygen sensor
-Coil za plug na nyaya zake
-Kusafisha nozzles.
 
Mimi natumia mwaka wa 6.. sijawai tengeneza tatizo kubwa zaidi ya civil joint, engine mount, bush na kubadili plug... sema naitumia kwendea job na kurudi home yombo
Nashukuru sana maana Kuna maneno mengi sana humu
 
Mkuu nataka niuze escudo nije huku asee, wanasema passo ziharibika sana ni kweli?
Uongo mkubwa, shida ya passo haipendi tough road, na shida kubwa kwa hizi garini miguu ya mbele. Kwingine kote safi, ila kama haupiti roughroad sana paso ni gari nzuri kuliko ist
 
Uongo mkubwa, shida ya passo haipendi tough road, na shida kubwa kwa hizi garini miguu ya mbele. Kwingine kote safi, ila kama haupiti roughroad sana paso ni gari nzuri kuliko ist
Mi nasafiri na passo toka mwanza hadi dar mara kwa mata. Na huwa nawasha garasaa 12 nazima gari dar saa 6 usiku
 
Back
Top Bottom