Hilo swali halija kamilika naona wengi mnakurupuka kasoro mmoja, nawasiwasi kamamnamiliki magari....au mnatumia za wazazi wenu au Ndugu huwezi kujibu bila kujua mafuta ya diesel au petroli gari yenye engine cc 2500-3900 au hizi baby walkers cc 1200-1600. au ya mzigo fuso au trailer, Unaendeshea wapi rough road au rami.....ndo utajua Consumption ya gari lako
Wewe ndo hujaelewa ..swali lipo clear kabisa kwamba wese la 20k lakupeleka km ngap.it doesnt matter ni laina gani..cc ngap diesel or petrol nk