[emoji33] [emoji24]Yangu inatembea km 70 full a. c, foleni za daslamu
Mimi yangu ni volkswagen polo, kwa mafuta ya 20,000 natembea km 44
Ahsante kwa ushauri, ngoja nitafute nafasi nikafanye diagnosis.Mkuu embu nenda kafanye computer diagnosis haraka... huo sio ulajinwa kawaida kwa hyo gari yako..
nazijua polo vizuri sana engine yake ndogo kabisa ni 1.2 ltr na kubwa kabisa ni 2.0 ltr...
pamoja mkuuAhsante kwa ushauri, ngoja nitafute nafasi nikafanye diagnosis.