ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hii itakua VitzHome hadi town 25km, mara nne(kwenda na kurudi mara mbili). 100km. Ikiwa na kiyoyozi. Hakika hili ni babywalker matata sana, japo ya kuazima...teh teh!!
Kwa hiyo gari yenye cc 1200-1600 ni babywalker?Hilo swali halija kamilika naona wengi mnakurupuka kasoro mmoja, nawasiwasi kamamnamiliki magari....au mnatumia za wazazi wenu au Ndugu...huwezi kujibu bila kujua mafuta ya diesel au petroli gari yenye engine cc 2500-3900 au hizi baby walkers cc 1200-1600. au ya mzigo fuso au trailer, Unaendeshea wapi rough road au rami.....ndo utajua Consumption ya gari lako
Kwani kuna gari ya maana yenye cc 1200 kama sio ist vitz forgo, Raumu Nissan trail specio nk nitajie gari yoyote kama unaijua....kama sio babywalkerKwa hiyo gari yenye cc 1200-1600 ni babywalker?
ARROGANCE at its best[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwani kuna gari ya maana yenye cc 1200 kama sio ist vitz forgo, Raumu Nissan trail specio nk nitajie gari yoyote kama unaijua....kama sio babywalker
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikariri kiongozi, sio vitz
Oops, mkuu nenda kafanye diagnosis. Polo nyingi zina 1.4L haiwezekani ile wese kiasi hicho. Fanya service kwa wakati mkuu.Mimi yangu ni volkswagen polo, kwa mafuta ya 20,000 natembea km 44
Hilo swali halija kamilika naona wengi mnakurupuka kasoro mmoja, nawasiwasi kamamnamiliki magari....au mnatumia za wazazi wenu au Ndugu...huwezi kujibu bila kujua mafuta ya diesel au petroli gari yenye engine cc 2500-3900 au hizi baby walkers cc 1200-1600. au ya mzigo fuso au trailer, Unaendeshea wapi rough road au rami.....ndo utajua Consumption ya gari lako
Mmmh!! kaka hivyo vigari vina engine capacity ndogo sana hapa tunaviita "babywalker" Japan vitaitwa "marginal economical vehicles" vya weekend shopping supermarket na vinamilikiwa na undergraduates (wanafunzi wa vyuoni) viingine haviruhisiwi kuingia katika major highways....ndo maana wanavi auctioniwa na kua damped in Africa.Golf Touran ipo yenye 1.4L. Nayo ni babywalker? Hivi Xtrail nayo ni babywalker? Kitu kina almost 2L engine unaiita babywalker?
Tena uwahi mkuu hizo gari consumption yake ni ndogo sana kama passo cheki wadau wa German car sio kila Garage utaongeza tatizo kuna mdau anaitwa 225jerry mcheki instagram atakusaidia akishindwa atakelekeza kwa wadau wengine wa German cars.Ahsante kwa ushauri, ngoja nitafute nafasi nikafanye diagnosis.
Kwa hiyo babywalkers tu ndio zinakuwa auctioned na kuwa dumped in Africa? Hivi unajua hata UK wananunua used Japanese cars kutoka Japan?Mmmh!! kaka hivyo vigari vina engine capacity ndogo sana hapa tunaviita "babywalker" Japan vitaitwa "marginal economical vehicles" vya weekend shopping supermarket na vinamilikiwa na undergraduates (wanafunzi wa vyuoni) viingine haviruhisiwi kuingia katika major highways....ndo maana wanavi auctioniwa na kua damped in Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli lakini Mitumba ya magari ya Japani ya UK. na yaTz nitofouti sana.Kwa hiyo babywalkers tu ndio zinakuwa auctioned na kuwa dumped in Africa? Hivi unajua hata UK wananunua used Japanese cars kutoka Japan?
Sent from my TA-1032 using Tapatalk
Mkuu japokuwa lina Engine kubwa lakini inaonekana linatumia vizuri fuel nimepiga hesabu hapo ukilinganisha na prado au land cruser bas utapata jibu bora hiyo X5 kuna haja ya kutokuziogopa hizi gari we unaonaje?Kwa wiki kwa wastani naendesha kama 400 km natumia just under $50 ~ Tsh 100,000. BMW X5 3 L
Hiyo sehemu kubwa ni misafara ya kwenda na kurudi kazini, ambayo naifikiria kuipinguza, japo kwa siku moja, kwa kufanya kazi kutoka nyumbani.
Hapo nimeweka na hesabu za weekend, kama vile ukitaka kwenda kuangalia sinema mpya kama ya Spike Lee ya sasa "BlackK Klansmann
CC Mshana Jr
Mkuu japokuwa lina Engine kubwa lakini inaonekana linatumia vizuri fuel nimepiga hesabu hapo ukilinganisha na prado au land cruser bas utapata jibu bora hiyo X5 kuna haja ya kutokuziogopa hizi gari we unaonaje?
Hebu nifundishe kutambua ulaji wa mafuta say engine 2990 na nyingine engine 1990mleta mada kwa MPG hyo bila shaka engine ya gari yako itakuwa inarange 2.0 ltr -2.5 ltr....
na chengine huwezi linganisha consumption ya gari yako na nyingine bila kusema unatumia gari gani na engine gani?
kama hapo mm kwa uzoefu nimeweza kujua hyo gari itakuwa ipo kwenye 2.0 engine hadi 2.5 ltr engine kutokana na ulaji huo wa mafuta
Hebu nifundishe kutambua ulaji wa mafuta say engine 2990 na nyingine engine 1990