ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
Just google. Toyota crown 2012 specificationswakuu
nisaidieni hapo kuna chuma nimeipenda crown new model year2012 ila cc zake ni 4600 cjui kwa mafuta ya elfu 20 naeza enda km ngap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Dar ni sehemu gani nzuro wanafanya hii dignosis. Nina Grand Vitara CC 2000 inakula 6km/lt kwa safari za hapa mjiniMkuu embu nenda kafanye computer diagnosis haraka... huo sio ulajinwa kawaida kwa hyo gari yako..
nazijua polo vizuri sana engine yake ndogo kabisa ni 1.2 ltr na kubwa kabisa ni 2.0 ltr...
Mpaka hapo tu inaonesha hyo gari huwezi kuafford kama mafuta tu unaulizia ya elfu ishirini utaenda kilometa ngapwakuu
nisaidieni hapo kuna chuma nimeipenda crown new model year2012 ila cc zake ni 4600 cjui kwa mafuta ya elfu 20 naeza enda km ngap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi 20000 Lita kama 8 na point inatembea km 60 nikiforce au bila foleni au masafa km 70Yangu inatembea km 70 full a. c, foleni za daslamu
Niliwahi kuwa na Zx cruiser 2014 petrol cc 4600 lita 1 inaenda km hapo 4 hapo kwa safar kwa mji ka dsm inaenda km 3
Mk hapo ya elf 50 unaenda km 60 approx ?au 70 mwisho,da...parefu kwanguNiliwahi kuwa na Zx cruiser 2014 petrol cc 4600 lita 1 inaenda km hapo 4 hapo kwa safar kwa mji ka dsm inaenda km 3
wakuu
nisaidieni hapo kuna chuma nimeipenda crown new model year2012 ila cc zake ni 4600 cjui kwa mafuta ya elfu 20 naeza enda km ngap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swali halija kamilika naona wengi mnakurupuka kasoro mmoja, nawasiwasi kamamnamiliki magari....au mnatumia za wazazi wenu au Ndugu...huwezi kujibu bila kujua mafuta ya diesel au petroli gari yenye engine cc 2500-3900 au hizi baby walkers cc 1200-1600. au ya mzigo fuso au trailer, Unaendeshea wapi rough road au rami.....ndo utajua Consumption ya gari lako