Hilo swali halija kamilika naona wengi mnakurupuka kasoro mmoja, nawasiwasi kamamnamiliki magari....au mnatumia za wazazi wenu au Ndugu huwezi kujibu bila kujua mafuta ya diesel au petroli gari yenye engine cc 2500-3900 au hizi baby walkers cc 1200-1600. au ya mzigo fuso au trailer, Unaendeshea wapi rough road au rami.....ndo utajua Consumption ya gari lako
Mkuu embu nenda kafanye computer diagnosis haraka... huo sio ulajinwa kawaida kwa hyo gari yako..
nazijua polo vizuri sana engine yake ndogo kabisa ni 1.2 ltr na kubwa kabisa ni 2.0 ltr...
Yap[emoji848][emoji848][emoji848] Hizi zenye CC 990?
Nimecheka sana hiyo paragraph ya mwisho, sasa wewe tukuweke kwenye calories ngapi unachoma kwa sikuWewe sasa nahisi hauna gari bali ni fundi wa magari swali limekaa fupi na linaeleweka,
Mwenye kuleta uzi amezingatia gari yake bila kutaja cc wala aina ya fuel anayotumia ila amesema elfu 20 anatumia kwa hizo km alizotaja..
Kaka engine ya passo haitaki service za kuungaunga weka oil recomended. Utadumu nayo. Mm nimetembelea ya kwanza ilipofika 160000km nikaiuza nikanunua ingine kwa 8mln ina 30000km saii ndo kanakimbilia 55000kmMkuu nataka niuze escudo nije huku asee, wanasema passo ziharibika sana ni kweli?
Mnapimaje ulaji wa Mafuta. Nifundisheni