Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
namjua mtu hafiki hata 2m, na still ana ndinga ya maana.Kama kipato chako kwa mwezi kiko chini ya 5m achana na magari
Watakua wanafeli, wameweza kukununua gari watashindwa kunipa hela ya surgery mloganziraπ€π€ππNao Wana vigezo vyao, uta sikia chura ya kijerumani IPO ππ€£
Ukipata wawili nirushie mmoja bestieHapa nikae vizuri naweza nikaruka na don mmoja
Aisee hio Sio nzuri, subiri binamu yako nichore ka njiwa tupaeπWatakua wanafeli, wameweza kukununua gari watashindwa kunipa hela ya surgery mloganziraπ€π€ππ
Imeisha hiyo βΊοΈβΊοΈUkipata wawili nirushie mmoja bestie
Basi sawaππAisee hio Sio nzuri, subiri binamu yako nichore ka njiwa tupaeπ
Gari ya aina gani?namjua mtu hafiki hata 2m, na still ana ndinga ya maana.
Sijui ume waza maintainance au π
18Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..?
Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japann.
Funguka Mkuu..!