Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

Mi gar yakupewa niliipata nikiwa na 20yrs nilipomaliza six.

Ilikuwa sedan flan automatic ya toyota sijui model gan.
 
Tractor at age of 32
Nilijitahid binafs naona na ni Mungu tu wala haikuwa juhudi sana wala akili sana
Hata sielewi
 
Range Rover ila inasumbua gear umeiharibu acha nikutafutie nyingine
Hii unaionaje ni Range pia kama unapenda gari kubwa View attachment 2961016
Mkuu Hii Gari Hua Nikikuta Imeegeshwa (Parking) Sehemu Hua Naona Aibu Kueka Harrier Yangu Naona Nieke Mbali au Nijifanye Nimeeka Car Wash Ikoshwe Kumbe Aibu Tu..!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mungu Anipe Wepesi Miaka Si Mingi Namie Ntanunua Walau Hii Nifanye ata Mkopo wa BankπŸ˜‚πŸ™Œ
 
Kijana ,nawe uko kwenye nyuzi za magari.

Hujawahu kuniambia kaka yako unipe "lift" maana sifahamu kuendesha wala kupanda gari,
Hivi wanapandaje gari? Kama punda vile tunavyompanda mgongoni?
Kaka Mimi sija wahi panda Wala miliki, labda la kuchoraπŸ€“πŸ˜
 
Kama kipato chako kwa mwezi kiko chini ya 5m achana na magari
Bila shaka unaongelea kwa wenye familia kubwa au wategemezi wengi, kibongobongo hicho siyo kipato cha kumfanya mtu aishi kinyonge kiasi cha kugombea daladala, au umemaanisha magari ya kuanzia CC 3000
 
Bila shaka unaongelea kwa wenye familia kubwa au wategemezi wengi, kibongobongo hicho siyo kipato cha kumfanya mtu aishi kinyonge kiasi cha kugombea daladala, au umemaanisha magari ya kuanzia CC 3000
Jamaa nime mshangaa Sana, maana Watu wengi- wako chini ya hata 2m na still Wana bang mtaani
 
Kwa Mungu mbona madogo sana hayo
Na siku ukiipata utaona ni kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…