Gari yangu haijawahi kutoka Dodoma, ila ina deni linaloonesha ilikamatwa Dar

DodomaTZ

Senior Member
Joined
May 20, 2022
Posts
197
Reaction score
233
Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma.

Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa badala ya kumuwajibisha wanabebana matokeo yake gari imepelekwa kwa ajili ya ukaguzi wanaishikilia hadi deni lilipwe wananchi tumechoka hatuwezi kuvumilia huu ujinga.
 
Mapinduzi ya kidigitali kwa nchi za kiafrika zisizo na uaminifu na zinazunuka rushwa yamekuwa ni kilio na karaha kwa wananchi
Kumekuwa na faini za trafiki, faini za kupaki magari za kumbabikiwa na hata kodi unaweza kujikuta unadaiwa kodi ya mapato kama mfanyabiashara wakati hata huna hio biashara.
 
Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma.

Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa badala ya kumuwajibisha wanabebana matokeo yake gari imepelekwa kwa ajili ya ukaguzi wanaishikilia hadi deni lilipwe wananchi tumechoka hatuwezi kuvumilia huu ujinga.
Oktoba 29 ulitiki au hukutiki ndugu mleta uzi?
 
Kama una vielelezo vinavyojitosheleza ni muda muafaka wa kuwaburuza mahakamani, kesi itembee ili mbivu na mbichi zijulikane.
 
Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma.

Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa badala ya kumuwajibisha wanabebana matokeo yake gari imepelekwa kwa ajili ya ukaguzi wanaishikilia hadi deni lilipwe wananchi tumechoka hatuwezi kuvumilia huu ujinga.
Angalia vizuri, gari yako ni autonomous (self-driving) vehicle. Huwa inakutoroka usiku kwenda mishemishe zake!😁
 
Ungeoamba kuonyeshwa picha ya speed camera au risiti ya faini iliyo na saini yako .
 
Nina ndugu yangu alikuwa na the same case.. anyways, sema kwa kuwa yeye ana cheo huko JWTZ, basi yule trafic aliyeweka fine alitafutwa na kulipa deni
 
Wafungulie mashtaka tu utajua mbivu na mbichi, lishtaki jeshi zima la polisi na si polisi mmoja
Kwa nchi ilipo fikia kwa sasa akifungua mashtaka atatekwa na kupoyea mazima , kwasas jeshi la polisi lipo juu ya katiba na sheria wanaweza kukufanya chochote na huna cha kuwafanya
 
Back
Top Bottom