Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,963
- 5,757
Suala hilo halina athari ufikie utekwe, ikifika juu ndiyo watadili na huyo AskariKwa nchi ilipo fikia kwa sasa akifungua mashtaka atatekwa na kupoyea mazima , kwasas jeshi la polisi lipo juu ya katiba na sheria wanaweza kukufanya chochote na huna cha kuwafanya