Oktoba 29 ulitiki au hukutiki ndugu mleta uzi?Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma.
Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa badala ya kumuwajibisha wanabebana matokeo yake gari imepelekwa kwa ajili ya ukaguzi wanaishikilia hadi deni lilipwe wananchi tumechoka hatuwezi kuvumilia huu ujinga.
Kama una vielelezo vinavyojitosheleza ni muda muafaka wa kuwaburuza mahakamani, kesi itembee ili mbivu na mbichi zijulikane.Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma.
Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa badala ya kumuwajibisha wanabebana matokeo yake gari imepelekwa kwa ajili ya ukaguzi wanaishikilia hadi deni lilipwe wananchi tumechoka hatuwezi kuvumilia huu ujinga.
Maendeleo hayana chamaDah inasikitisha tulipofikia
Angalia vizuri, gari yako ni autonomous (self-driving) vehicle. Huwa inakutoroka usiku kwenda mishemishe zake!😁Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma.
Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa badala ya kumuwajibisha wanabebana matokeo yake gari imepelekwa kwa ajili ya ukaguzi wanaishikilia hadi deni lilipwe wananchi tumechoka hatuwezi kuvumilia huu ujinga.
Mbona havihusianiOktoba 29 ulitiki au hukutiki ndugu mleta uzi?
Kwa nchi ilipo fikia kwa sasa akifungua mashtaka atatekwa na kupoyea mazima , kwasas jeshi la polisi lipo juu ya katiba na sheria wanaweza kukufanya chochote na huna cha kuwafanyaWafungulie mashtaka tu utajua mbivu na mbichi, lishtaki jeshi zima la polisi na si polisi mmoja