Gari yangu haijawahi kutoka Dodoma, ila ina deni linaloonesha ilikamatwa Dar

Kwa nchi ilipo fikia kwa sasa akifungua mashtaka atatekwa na kupoyea mazima , kwasas jeshi la polisi lipo juu ya katiba na sheria wanaweza kukufanya chochote na huna cha kuwafanya
Suala hilo halina athari ufikie utekwe, ikifika juu ndiyo watadili na huyo Askari
 
Hata mimi nimepitia changamoto hii kuandikiwa deni gari ikiwa morogoro-ifakara,
Nikifuatilia polis lakini sikupata msaada wowote ,zaidi ya wao kusema inawezekana ulimpa mtu gar akaenda huko!!?
Mwisho wa siku ilibdi nilipe deni la kosa ambalo gari haijawahi kufika ifakara, niusumbufu tu barabaran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…