ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Liqui moly oil sijui kama nime spell vizuri unaweza Google piaHabari za mchana watu wangu
Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
Niuzie hii gariView attachment 3079752
Mwamba wangu huyu hapa hata mafuta ya kula naweka na misele kama kawaida.
Ishaacha hata kusoma mileage.
Hiyo ya kubebea vyakula vya nguruweView attachment 3079752
Mwamba wangu huyu hapa hata mafuta ya kula naweka na misele kama kawaida.
Ishaacha hata kusoma mileage.
Ni nusu engine, huyu aliunguza mashine! Gari ilichemsha bila yeye kuwa makini.Mswaki ndiyo kitu gani mkuu? 🤣
Hata wewe ukijipendekeza unabebwa tu.Hiyo ya kubebea vyakula vya nguruwe
Winnie unatumia gari Gani??Hiyo ya kubebea vyakula vya nguruwe
Vintage hiyo, bei yake hutoiweza😂😂😂😂Niuzie hii gari
Iliungua akaweka half engine...cc mswakiYaani engine iliharibika kitu gani?
Ni nusu engine, huyu aliunguza mashine! Gari ilichemsha bila yeye kuwa makini.
Ndiyo mzungu anaita half engine kwa kiswahili ni nusu engineMzungu anaita half engine pia.
Hizi lugha za kwenu huko, duh!
Huyu gari ilichemka, shida iko kwenye kuchemsha bila Mtumiaje kuwa makini.....sienta ubadilishe nusu engine kisa Aina ya oil?? SidhaniYaani engine iliharibika kitu gani?
Kaka, kikubwa tuna Gari tumshauriMzungu anaita half engine pia.
Hizi lugha za kwenu huko, duh!
Pole yake.
Ndiyo mzungu anaita half engine kwa kiswahili ni nusu engine
Gari haijaxhemsha rejeta iko vizuri ilikuwa inapiga kelele tuNi nusu engine, huyu aliunguza mashine! Gari ilichemsha bila yeye kuwa makini.
Basi hawakuweka oil, au waliweka oil kiwango Kidogo sanaGari haijaxhemsha rejeta iko vizuri ilikuwa inapiga kelele tu
AsantePole sana mkuu.
Hiyo nusu sasa ni kuitunza. Komaa na service na kuhakikisha gauge ya temperature haikutupi mkono.
Zingatia kila taa red kwenye dashboard simama. Hizi ni fatal.
Kila taa orange usipuuze. Hizo ni warning.
Gari ikitunzwa kwamba ni a "lifetime investment is real."
Itahimili safari ya mikoani hii maana huwa nasafiri sana5W30
Fundi aliyeikagua alisema waliweka oil nzito hii 20w-50 sasa najiuliza oili ipi inafaaBasi hawakuweka oil, au waliweka oil kiwango Kidogo sana