Gari yangu voxy haizidi speed 40 ata ukikanyaga accelerator mpaka mwisho shida ni nini . Na anaejua changamoto zilizopo kwa gari za voxy msaada

Ukiangalia utakuta mshale wa RPM unaenda juuuu. Inamaanisha gear inaishia 2 kwa iyo speed I can guess ivo.

Kwa haraka haraka kuna tatizo kwenye transmission, kwamba gari haiendi gear za juu.

Either ATF imeisha au inavuja au something very serious.

Nashauri nenda gereji.
 
Ilinitokea hii ila sio kwenye Voxy, nilikua natoka Iringa kuja Dar. Kuja kugundua nusu ya ATF ilikua imevuja. Mi ilikua inaishia gear 3 na ata nikiweka Manual shift nikiforce iende gear 4 inarudi chini.

Ilibidi niende nayo ivo ivo hadi Dar .

Hamna kilichokufa ila nilitengeneza kwa Mil 1.2+

Ilikua BMW 3 series, sitaki ata kuisikia takataka ile.
 
Mambo ya Germany machine hayo boss
 
Back
Top Bottom