Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Ndio mkuu, kwa learner au wanaomiliki usafiri kwa mara ya kwanza hizo gari hazifai. Bora vitz ya zamaniKweli asee.... zinahitaji kudekezwa sana .
We umeshazoea SUVYa mafuta kidogo mbona yapo mengi sana mkuu!ila hayana ladha unapoyaendesha,gari unaikamua haitaki kwenda,nguvu ndogo,labda kama unataka cha kuzungukia nacho kwenye foleni za mji kama Dar,lakini kwa safari ndefu hizo ni shida tu......
Mkuu BMW nilishangaa ni SUV but ina cc chache mno kama saloon carsSaloon ni body type au kwa jina lingine sedan
Na hizo gari zinarange kuanzia cc900 hadi cc 1790. Hivyo ukinunua kutoka Japan moja kwa moja na sio kwa mtu utatumia gharama ndogo kwa ajili ya maintenance.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]halafu namba D jamani jamani[emoji1787][emoji1787]
Gari kama donati za mwenge[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gari gani yenye muundo wa kitimoto??? Nimewaza kinyama hahah au ni hii Will Vs?
View attachment 1163492
Au hii Will V
View attachment 1163493
Au hii hapa will vs new model
View attachment 1163495
Binafsi hizi ndio gari za kishenzi toka Toyota ambazo ni extremely Ugly na siwezi kaa nikaenda kununua hata ziuzwe bei rahisi kiasi gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ule mkate?NUNUA KAMA ILE ALOZAWADIWA Q-CHILLAH
Boflo
Ni BMW x1 au?Mkuu BMW nilishangaa ni SUV but ina cc chache mno kama saloon cars
Eti why?
Ila kampuni ya Toyota ovyo sana![emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio designer wao sijui walikuwa wanalewa kwanza ndio wachore miundo ya magari maana magari madogo mengi ya 2003-2007 yamekaa kama vikatuni. 2011-2015 wakahamia kwenye makubwa na kuyavurunda haswa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hebu angalia hii gari,
View attachment 1163987
Noted mama. Ngoja niwahi SBT ku do the needful
[emoji23][emoji23][emoji23] wametufikiria na mbegu fupi jamani..hivi imagine mtu mrefu anendesha hiyo gari[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio designer wao sijui walikuwa wanalewa kwanza ndio wachore miundo ya magari maana magari madogo mengi ya 2003-2007 yamekaa kama vikatuni. 2011-2015 wakahamia kwenye makubwa na kuyavurunda haswa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hebu angalia hii gari,
View attachment 1163987
πππ Hii ndo aina gani ya gari, mbona ipo kama inapanda mlima
Hiyo gari chibonge mfupi.ππGari kama kifusi...
Hiyo gari chibonge mfupi.ππGari kama kifusi...
Hahaha eti magari ya saluni,
Mimi sitaki gari ya kunifilisi ,nataka gari ambalo mafuta yanatumika kidogo
Unamaanisha ile bajaji yangu?Kwa hiyo unrecommend SBT hommie? Ile mashine yako ulipitia kwao?
Kumbukeni pia zipo Saloon zenye cc hadi zaidi ya buku 4Mkuu BMW nilishangaa ni SUV but ina cc chache mno kama saloon cars
Eti why?