Gari za kidada

Gari za kidada

Ya mafuta kidogo mbona yapo mengi sana mkuu!ila hayana ladha unapoyaendesha,gari unaikamua haitaki kwenda,nguvu ndogo,labda kama unataka cha kuzungukia nacho kwenye foleni za mji kama Dar,lakini kwa safari ndefu hizo ni shida tu......
We umeshazoea SUV
 
Saloon ni body type au kwa jina lingine sedan
Na hizo gari zinarange kuanzia cc900 hadi cc 1790. Hivyo ukinunua kutoka Japan moja kwa moja na sio kwa mtu utatumia gharama ndogo kwa ajili ya maintenance.
Mkuu BMW nilishangaa ni SUV but ina cc chache mno kama saloon cars

Eti why?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio designer wao sijui walikuwa wanalewa kwanza ndio wachore miundo ya magari maana magari madogo mengi ya 2003-2007 yamekaa kama vikatuni. 2011-2015 wakahamia kwenye makubwa na kuyavurunda haswa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Hebu angalia hii gari,
View attachment 1163987
Ila kampuni ya Toyota ovyo sana!

Magari yao yote mabaya...kidogo Prado walijitahidi body but interior design mbaya hasa mmh!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio designer wao sijui walikuwa wanalewa kwanza ndio wachore miundo ya magari maana magari madogo mengi ya 2003-2007 yamekaa kama vikatuni. 2011-2015 wakahamia kwenye makubwa na kuyavurunda haswa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Hebu angalia hii gari,
View attachment 1163987
[emoji23][emoji23][emoji23] wametufikiria na mbegu fupi jamani..hivi imagine mtu mrefu anendesha hiyo gari
 
Back
Top Bottom