Gari zenye dashboard mbaya nikianza na vitz old model na rav4 old model nk

Good point lakni nimeongelea kwasbu paka sahv izo gari zipo ingawa ni zamani lkn bado watu wana zipenda
Tunazipenda kwa sababu ni vyuma. Ila hata ufanye interior design vipi yani zinakuangusha tu....

Huwa naitamani old model rav 4 ila kila nikiangalia mule ndani nachoka kabsa....
 
Tunazipenda kwa sababu ni vyuma. Ila hata ufanye interior design vipi yani zinakuangusha tu....

Huwa naitamani old model rav 4 ila kila nikiangalia mule ndani nachoka kabsa....
APo umeongea point gari nzuri kwa sifa zake lakni interior yake imekaa kams zle bus za DCM
 
Mi naomba kuuliza,samahani lakini,huyo mtu aliyesimama nje ya rav 4 ameweka mkono kiunoni ni mwanamke au mwanaume!!??
 
Gari zina miaka 25+, android za miaka 10+ usitegemee compatibility.
 
Aisee kuna siku jamaa mwenye hiyo gari nilimsaidia kupaki vizuri Ile naingia ndani nakutana na staff gear.....hii gari ni hovyo kwelikweli
Staff gear kipengele kuna gari flani SUV ya kibabe ford escape nayo ina staff gear yani aifananii na iyo gari dash imekaa kitofauti
 
Mnayasema hayo magari naona ni sawa kwa miaka yake kuwa hivyo hapo tumebanwa na kodi kubwa ya magari ndio maana tupo busy tunaendesha magari ya kizamani sana nikiangalia gari kama hii inauzwa Tsh 34 m ni ya mwaka 2023 ukijaribu kuangalia kikokotoo utakimbia ndio maana tunajibanza na hizo gari kila kukicha tunazichambua makosa yake.
 
Kodi zinatufanya tumiliki gari za miaka ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…