Gari zuri kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail

Joined
Apr 6, 2019
Posts
19
Reaction score
11
Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail,.

Upatikanaji wa spare, nakadhalika kwa matumizi binafsi Kama vile kwenda kazini. Pia Kama lipo gari lingine zuri kuliko bei kimo Cha mil. 12 na kushuka.

Naomba ushauri na maelekezo zaidi.

Ahsanteni Sana.
 
Hizo gari zote nzuri ukiinunuwa mpya, brand new.


Mitumba yote ni mabomu.
 
Ongeza Raum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…