Gatuzi/kaunti ya Murang'a yaanza ujenzi wa hospitali kubwa ukanda huu kwa ajili ya saratani - maendeleo kote Kenya, nje ya Nairobi

Hueleweki, vipi kuhusu kufanya kazi Serikalini, Serikali ya Kenya inaweza kuajiri mtu ambaye sio mkenya katika ajira za Serikali?
 
We have plenty of them, but this one will be a showstopper in the whole of EAC, and will be located in a county away from Nairobi, meaning the whole country is on turbo charge.
Mention them
 
Mkenya anayeunga vitendo vya CCM mkono?
Freedom of speech, media etc etc...Vitu ambavyo wakenya tumepigania kwa vita vya polisi na bungeni! Watu wamekufa kwa sababu ya izi haki tulizonazo. Huyu so mkenya ata kidogo.

Watu kama hao ni wa kupuuza, atakuhemesha bure, aidha kuna moja kati ya mawili, inawezekana akawa ni Mkenya kaajiriwa na CCM kufanya propaganda maana ukimsoma vizuri huwa hana msimamo kwenye hoja yoyote, hana tofauti na waimba mapambio wa CCM ambao hugeuza geuza na kupindisha pindisha kulingana na upepo unavyovuma kwenye uongozi wa chama, kwa namna hiyo yuko kikazi zaidi na hamna lolote mnaloweza kukubaliana naye kwenye hoja, akionekana kulegeza atafutwa kazi, hivyo bora kumpuuza kama jinsi huwa nawapuuzia mbali waimba mapambio wenzake, watakupotezea muda.

Au iwe ni Mtanzania ambaye ameishi Kenya muda mrefu hadi haijui Bongo vizuri, maana huyo jamaa pia ukimsoma kwenye hoja zake tofauti na kushabikia CCM, huwa haonekani kuifahamu Bongo, huparamia kila kinachoangazwa bila uelewa wake, anachojua kuhusu Bongo ni taarifa zinazokua posted lakini sio kwa uzoefu wa kuishi kule. Mimi nimeishi Bongo na nimekatiza mikoa mingi sana, huwa rahisi sana kwangu mimi kumbaini Mtanzania ndani ya dakika mbili tu za mazungumzo.
 
Ndindi nyoro Hana muscle bado bro, kwanza yeye ni team tangatanga atakua na uphill task.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
But uhuru has got a urinator by the name Irungu kang'ata eti pia anataka ugavana murang'a. Bullshit .

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Nnaye musaja Ggwe oli nga kyimenke? twagala Ddembe twesonyiwe.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…