joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hueleweki, vipi kuhusu kufanya kazi Serikalini, Serikali ya Kenya inaweza kuajiri mtu ambaye sio mkenya katika ajira za Serikali?Nilisomea Uganda miake minne and I can speak Lusoga Fluently so your point is not admissible in this context.
Mozambique, Malawi, Zambia, Rwanda, Burundi,Congo DRC na Uganda huwezi communicate nao so you are technically useless to them. Tembea Mkuu akili zifunguke. Huyo @mkikuyu akili timamu is a hundred times smarter than you able to sustain an argument coherently stating half truths. Ni mtanzania aliyesomea au kuishi Kenya.