Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
No nilikuwa najua ila kwa namna ulileta wewe hakuna ubishi una agenda binafsi ambayo sio afya kwa taifaJones...
Mimi siko hapa kufanya ubishi.
Kazi niliyojipa mimi ni kusomesha yale yasiyofahamika.
Kwangu si muhimu sana uamini haya niandikayo.
Mradi nimelieleza na watu wamesoma mimi inanitosha.
Ulikuwa hujui sasa unajua.
Mkuu, kwani Nyerere alikuja Dar kama Mkristu au kama mwanaharakati wa ukombozi wa nchi? Kwani kuna shida gani akipokelewa na wananchi wenzake, ambao wewe unawatizama kwa jicho la uisilamu? Achana na chuki chuki za kidini ndugu, wapnde watu wote ili hata unapowaacha watu duniani, wote au wengi waenzi kazi zako njema, na Mungu atakubariki kwa hiloMay Day,
Hivi unajua Nyerere kaja Dar es Salaam hana ndugu wala jamaa? Unawajua waliompokea?
Lombo,Mzee tupe ushahidi was wizi huu!
Wanabodi wanalalamika hujibu hoja, huwa unaleta maelezo ambayo yapo nje ya maswali unayo ulizwa na mimi nilitaraji ujibu maswali yangu badala ya kuniambia hunilazimishi kuamini unachoandika.Jones...
Mimi siko hapa kufanya ubishi.
Kazi niliyojipa mimi ni kusomesha yale yasiyofahamika.
Kwangu si muhimu sana uamini haya niandikayo.
Mradi nimelieleza na watu wamesoma mimi inanitosha.
Ulikuwa hujui sasa unajua.
Jones...No nilikuwa najua ila kwa namna ulileta wewe hakuna ubishi una agenda binafsi ambayo sio afya kwa taifa
Jones...Wanabodi wanalalamika hujibu hoja, huwa unaleta maelezo ambayo yapo nje ya maswali unayo ulizwa na mimi nilitaraji ujibu maswali yangu badala ya kuniambia hunilazimishi kuamini unachoandika.
Kwa hiyo Mzee ...mimi.niridhike na haya maelezo kuwa ni Ushahidi,!?Lombo,
Mwandishi wa mswada ni Dr. Kleruu baada ya Abdul Sykes kujitoa katika mradi ule.
Huu mswada ulikaa Maktaba ya TANU toka mwaka wa 1963 hadi 1971 Ulotu alipochapa kitabu.
Katika watu waliokuwa wanajua kuhusu mswada huu ni Hassan Upeka Afisa Usalama wa Taifa.
Huyu Upeka ndiye alikuwa mwangalizi wa Maktaba hii na ndiye mwanzilishi wa Maktaba YA CCM Dodoma.
Wengine waliokuwa wanaujua mswada huu ni wanae Abdul Sykes.
Swali lingine...hivi una maanisha nini unaposema...Wazee wako!?Jones...
Ingelikuwa usemayo ni kweli ningeshashitakiwa mahakamani miaka mingi sana.
Kuwa nina agenda binafsi ni kweli.
Agenda yangu ni kuweka historia ya wazee wangu pale ilipostahili kuwepo.
Lombo,Kwa hiyo Mzee ...mimi.niridhike na haya maelezo kuwa ni Ushahidi,!?
Hata Kama ndivyo...hoja yangu ni kuwa ,Historia iliyiandikwa humo Ina mashiko!
Kuliko unavyotaka kutuaminisha wewe!
Lombo,Swali lingine...hivi una maanisha nini unaposema...Wazee wako!?
Halafu kumbe hii ni ajenda Binafsi😄😄😄
Kamanda...Hear both parties mr Mohamed, we unahukumu pande moja tu? Je, kama hao waislam wenzako walikuwa na makosa ndio wasitimuliwe?
Wangekua wadini kama wewe Nyerere asingefika popoteMay Day,
Hivi unajua Nyerere kaja Dar es Salaam hana ndugu wala jamaa?
Unawajua waliompokea?
Unadhani endapo wazee wetu wamgekuwa wabaguzi wa dini au kabila Nyerere angefika hapo alipofika?
Wewe unaridhishwa na hii hali ya leo katika mgawanyo wa fursa 20:80?
SawaaaaaLombo,
Hakika ni agenda binafsi.
Walioanzisha African Association ni babu zangu na naweza nikakutajia kwa majina na wajukuu zao ni wenzangu tumekua sote hapa Dar es Salaam.
Walioasisi TANU akina Sykes ni baba zangu nk.
Haya ndiyo yaliyonifanya niijue historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Historia imeandikwa hawa wazee wangu wamefutwa wote.
Kwangu hiyo si historia ya TANU ninayoijua mimi binafsi.
Ndiyo nikaamua kuandika historia ya TANU kama niijuavyo binafsi.
Wewe uliedai wamefukuzwa ulipaswa kutujuza.Kamanda...
Ningependa sana kuelimishwa makosa hayo.
Kamanda,Wewe uliedai wamefukuzwa ulipaswa kutujuza.
Janjaweed,Sawaaaaa
Walikua wadini kama wewe?
Je hakukua na wakristu?
Jitu gani kutwa kucha ni ubaguzi tu
Jifunge mabomu ujilipue basi
Janjaweed,Wangekua wadini kama wewe Nyerere asingefika popote
Walimu waungwana
Wewe ni mbaguzi sana wa dini… na hiyo imeondoa integrity yako kodi kwamba your good knowledge and talent is a wqste
Utakufa mdomo wazi Kwa ubaguzi wako
Je, walipoandamana walifanya kosa?Kamanda,
Hili jambo linahusu serikali na ujumbe ulifika serikalini kwa Waislam kuandamana dhidi ya Baraza la Mitihani.
Ipo barua ilifikishwa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Janjaweed,
Huu ni mjadala wa kistaarabu tunajadili mambo muhimu ya nchi yetu.
Mimi naeleza mambo niliyotafiti na kuandika na wengine wananihoji na najibu kadri ninavyoweza.
Unaniita mimi mbaguzi tena kwa jeuri na kuzungumza mabomu kuua watu.
Huu si mjadala wetu.
Mjadala ni kuwa kwa nini historia ya uhuru wazee wangu waliounda chama cha TANU majina yao yalifutwa?
Huna majibu basi hakuna haja ya kufokeana.