Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

Chief...
Kisa ni kirefu lakini nitakueleza kwa mukhtasari.
Uongozi wa Chuo ulitoa ardhi kwa ajili ya ujenzi wa msikiti na kanisa.

Waislam walitangulia katika kutaka kuanza ujenzi wa msikiti baada ya kupata vibali vyote.
Wakati shughuli inataka kuanza Mama Kabaka akawaambia Waislam kuwa hatambui vibali hivyo.

Askari wakaitwa kudhibiti eneo na mabanda yaliyokuwa yamejengwa yakavunjwa na hapo hapo Waislam 11 wakaondolewa UDOM.
 
Mama Kabaka ndiye aliyefanya maamuzi???,Kama Nani!?
 
Lombo,
Kuwahoji JF itakuwa hujafaya kitu cha maana sana.

Unapashwa kuwahoji Harvard na Oxford University Press, New York imekuwaje wakanichagua kuwa mmoja wa waandishi 500 walioshiriki katika mradi wa kuandika Dictionary of African Biography (DAB).

Halikadhalika utapashwa kuwahoji Oxford University Press, Nairobi imekuwaje wakanishirikisha katika mradi wao wa kuandika vitabu vya kusomesha historia na Kiingereza kwa shule za msingi.

Utapashwa vilevile uwahoji Northwestern University kwa kunialika kuzungumza chuoni kwao.

Tusimame hapa.

Hii tuzo ya JF kwangu ni ya tatu.
Tusiwabughudhi JF.
 
Sasa Hilo kama ndivyo lilivyo Lina unasaba na Ubaguzi kwa Waislam...kivipi,kwa kuwa umechangamya mambo.menhi humu
Mara 20:80,Mara Nyerere alisaidiwa ,nk
Hoja yako nini!
?
Lombo,
Hoja yangu ni kwa nini walimfuta Abdul Sykes katika historia ya TANU?
 
Hizo tuzo ulipewa kutokana na viasshiria vya Ubaguzi unatuonesha hapa!
Hakuna anayebisha kuwa wewe ni mwandishi waHistoria
Tunachokupinga wewe ni Viashiria vya Ubaguzi hasa wa kidini unaoufanya hapa!
Hivi ulipohojiwa TBC na Azam.ulieleza suala la 20:80,au Kabaka alizuia ujenzi wa Msikiti Udom?
Hiki ndiicho wadau wanakulaumu kwaudini na Ubaguzi!
Hata unaposema.Nyerere alisaidiwa naBaba zako hulielezi kwa nia Njema!
 
Mzee Sykes alifutwaje mkuu! Mbona hata sisi wa kuja tunamjua?
Lombo,
Amefutwa katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika ingawa yeye ndiye aliyemtia Mwalimu katika uongozi wa TAA 1953 na 1954 TANU ikaundwa.
 
Utafiti Tena wewe tuambie hapa Mama Kabaka alikuwa Nani ,alihujumu vipi.Waislam wa Pwani?!
Lombo,
Nimeeleza kuwa alikataa kutambua vibali vyote vya kujenga msikiti akavunja mabanda yaliyokuwa yamejengwa na akaleta askari kuzingira sehemu ile ya ujenzi wa msikiti.
 
Lombo,
Nimeeleza kuwa alikataa kutambua vibali vyote vya kujenga msikiti akavunja mabanda yaliyokuwa yamejengwa na akaleta askari kuzingira sehemu ile ya ujenzi wa msikiti.
Hivi kweli mzee ,unashindwa kuelewa kuwa Mama Kabaka hapo alisimamia maelekezo ya Serikali! Kama so ya Uongozi wa Chuo!
Hoja Kama hizi ndio zinafanya watu wawachukulie Waislam kuwa n watu wa kulia Lia bila hoja!
Na kwa uelewa wako.,bila Shaka unafanya haya kwa Nia ovu!
Kuwapumbaza Waislam wasio elewa!
Yaani maamuzi ya Chuo unamvisha Kabaka!?
Mawazo ya ajabu kabisa haya!
Ndio.maana tunahoji waliokupa tuzo waliaangalia upande wako wa Pili?!
 
Hili lizee Saidi kumbe ni lidini hivi?
nilikuwa sijui kudadeki.

Chuo cha serekali msikiti wa nini?
mfadhili ugaidi?

Hiyo tuzo ulopewa na melo na wewe ni ujinga mtupu.
Msanga...
Kuwahoji JF itakuwa hujafaya kitu cha maana sana.

Unapashwa kuwahoji Harvard na Oxford University Press, New York imekuwaje wakanichagua kuwa mmoja wa waandishi 500 walioshiriki katika mradi wa kuandika Dictionary of African Biography (DAB).

Halikadhalika utapashwa kuwahoji Oxford University Press, Nairobi imekuwaje wakanishirikisha katika mradi wao wa kuandika vitabu vya kusomesha historia na Kiingereza kwa shule za msingi.

Utapashwa vilevile uwahoji Northwestern University kwa kunialika kuzungumza chuoni kwao.

Tusimame hapa.

Hii tuzo ya JF kwangu ni ya tatu.
Tusiwabughudhi JF.
 
OK sasa naanza kuelewa ila hili jambo ni la LINI? Time factor hapa ni muhimu sna. Na maamuzi hayo Dada Gaudensia aliyafanya chini ya mwanvuli gani? Hilo ndio swali langu ili tuweze kuunganisha DOTS na kupata ukweli wa jambo hili vinginevyo kila mtu ataanza kufanya self speculation tu Sheikh Said au siyo!?
 
Speculation za nini...inajulikana wazi Taasisi Kama UDOM mtu mmoja hawezi kufanya maamuzi peke yake..nimjinga au mpumbavu ndiye anayeweza amni vinginevyo!
 
Kama huwaoni wanabodi wengine kwa hali kama hii hatuwezi kufika hitimisho!
 
Speculation za nini...inajulikana wazi Taasisi Kama UDOM mtu mmoja hawezi kufanya maamuzi peke yake..nimjinga au mpumbavu ndiye anayeweza amni vinginevyo!
Kwa hiyo unasema huyo Gaudensia siye aliyefanya hayo maamuzi bali ni Taasisi and in this context ni UDOM. Naamini unajua tunazungumzia nini, hivyo wewe huamini kuwa Gaudensia ni mtuhumiwa katika hili bali ni UDOM!? Basi sawa ingawa bado ningependa kujua "kadhia" hii ilitokea lini? Na Gaudensia alikuwa na madarak gani na wadhifa gani hapo UDOM?
 
Lombo,
Vitisho vya nini ndugu yangu?

Babu yangu mkuu kaingia Tanganyika kutoka Belgian Congo kabeba silaha kama askari katika jeshi la Wajerumani lakini mwanae babu yangu Salum Abdallah kapigania uhuru wa Tanganyika.

Hii ni historia inayofahamika na ni katika athari za ukoloni.
Umemtaja Kleist Abdul Sykes, Meya wa Dar es Salaam.


Kulia ni mimi, Yusuf Zialor, Kleist Sykes, Bubby Bokhari, Abdallah Tambaza.
Waliochuchumaa kulia Abdul Mtemvu, Wendo Mwapachu na Kaisi 1968.

Kleist alikuwa na miaka 20 mimi 18.

Nadhani umeona kuwa sisi wazee wetu walikuwa katika harakati za siasa za kupigania uhuru wa Tanganyika.
 
Kama huwaoni wanabodi wengine kwa hali kama hii hatuwezi kufika hitimisho!
Jones...
Mimi hapa niko darasani nasomesha yale ambayo wengi hamkuwa mkiyajua.
Siko katika ubishi.

Nimemeeleza yaliyotokea UDOM kwangu imetosha.

Ulijua kuwa hafla ya kumuaga Mwalimu Nyerere safari ya kwanza ilifanyika katika jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika?


Kulia Bi. Chiku bint Said Kisusa, Bi. Titi Mohamed na wa kwanza kulia ni Bi. Tatu bint Mzee naJulius Nyerere ni huyo hapo katikati uwanja wa ndege Dar es Salaam safari ya kwanza UNO February 1955.
 
Kama hawakwenda basi ujue hawakufaulu,inamaana hawana akili kama ulivyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…