Kati hao ukiowataja Mimi nimewasoma wote isipokuwa huyo Phombea na Okoch !
Ulitaka wafanyiwe Nini zaidi ya kuandikwa kuwa ni Waasisi was TANU ,Kuwa wakwanza kipewa Kadi no kwa sababu kadi za Kwanza zilitolewa hapo zingetolewa Karagwe kwa kina Kahama ,Kahama Nate aangekuwa mbele!
Mbona kina Sykes n familia kubwa na kila mtu anawajua ...niliwahi kuwa karibu kikazi na mojawao aliyekuwa Meya ...hata huo Udini Hana,la kufuata Dini yake ...siwezi lizungumzia kwa.sababu nilimfahamu kwa muda mfupi ,na kwa macho ya nyama,ukizingatia kuwa hata Dini yake siifahamu vizuri!
Mkuu kuwa umepewa nafasi ya kuandika majarida au utafiti mbali2 haiondoi hisia zetu kuwa una Udini!
Unapofikia hadi.kusema Nyerere alipokujaa Dar ,hakuwa na ndugu kwa hiuo alipokelewa na Baba zako,inaonesha kilicho ujaa moyo wako no chuki,roho mbaya ,husuda na uswaahili!
Duniani kote watu wanapokelewa na wenyeji
Wewe Kama msomi(!?) Kuyapa kipaumbele mambo madogo Kama hayo...ni kujifedhehesha!
Tuwe wakweli!
Kuna kitu ,huwa hakipo sawa kwa upande was Jamii zinazofuata saaana ...Uarabu!
Angalia miji Kama Bagamoyo,Tabora ,Kilwa nk jinsi ilivyochelewa kuendelea!
Na huko kuna malalimiko lukuki,kuwa wanaonewa !
Na hii sio Tanzania pekee,hata Pwani ya Kenya Waislam wanalalamika!
Je inakuwaje Kanisa Katoliki linamiliki eneo strategic mjini Bagamoyo ,ilhal Msikiti Mkongwe upo hapo,na sehemu ya eneo la Msikiti huo unamilikiwa na mtu mmoja!
Hayo maeneo Wazawa walinyanganywa na nani!
TANU,NYERERE AU SERIKALI!?
Juzi nilikutolea mfano was Wilaya ya Kisarawe...UNICEF waliwekeza ktk Elimu kupitiaa Mpango wa Vijana na Watoto Wanaoishi ktk Mazingira Magumu(2000s)
Ndani ya muda mfupi kiwango Cha Ufaulu uliongezeka ,na Kisarawe ikaingia ktk Wilaya Bora Kielimu(nenda kafanye utafiti) je waalipendelewa ?!
Nina uhakika hata project ya DC Joketi,ondoa Zero Kisarawe italeta matunda hivi punde!
Ndugu zetu acheni kudanganywa na watu wachache ambao wanasema wazi wanawatete Baba zao" Hakuna njia ya mkato no mapambano!
Kuna mikoa ilikuwa nyuma kielemu miaka ya 1980 Leo ipo juu ikisshindana na Kilimanjaro!
Hawakulia walisimama na kupambana!
Utasemaje Wachaga walikuwa wanapendelewa ilhaali Wana Shule za Kata tangu miaka ya 60na 70 ambazo huku Pwani bado ni haba?
Hivi hizo familia za babako zako wangekuwa waungwana wangewadhulumu Baba zetu waliopigana Vita Upande wa Waingereza au unataka tulianzishe!🤫