kipindi cha Magufuli naona uliufyata now after Magufuli umeibuka tena na Lugha zako kali za kichochezi unaongea takwimu bila kuweka data na kuonyesha ulikozitoaJanja...
Mimi natahadharisha serikali sijabagua mtu.
Sina uwezo wa kuzuia ujenzi wa shule wala kushika nafasi ya maamuzi Wizara ya Elimu.
Sijui Mamlaka zimelala huku watu Kama Hawa wakipanda chuki! Hakika anaidharaulisha dini yake!kipindi cha Magufuli naona uliufyata now after Magufuli umeibuka tena na Lugha zako kali za kichochezi unaongea takwimu bila kuweka data na kuonyesha ulikozitoa
hilo hawezi kuligusia mkuu huyu mzee si wa kupuuzwa inafaa achukuliwe atuaSijui Mamlaka zimelala huku watu Kama Hawa wakipanda chuki! Hakika anaidharaulisha dini yake!
Anasahau kuwa Kuna makuminya Shule na Vyuo vya Kaanisa vilitaigishwa na Serikali ya Awamu ya Kwanza kwa faida ya Watanzani wote Waislam na Wapagan
Inabidi.kuanzidha Kampeni wahusika waache kumpromoti'mbaguzi huyu!hilo hawezi kuligusia mkuu huyu mzee si wa kupuuzwa inafaa achukuliwe atua
Historia iko sawa kabisa..na haina shida yoyote ndio mana inafundishwa mashuleni..wewe ndio unataka kutuharibia historia ya nchi yetu..kwa mlengo wako wa hovyo...hii sio sawa haikubariki..tulia ulee wajukuu mzee unazeeka vibaya..kubali tu huwezi pigana na kila kitu..siku zote kuna samaki wakubwa ndani ya bahari kukuzidi chamsingi ishi nao tu..maisha yaende.Ndugu zanguni,
Nasoma hoja zenu ninachogundua ni kuwa hamtaki kukubali kuwa historia ya TANU kwa kutumia lugha ya sasa, ''ilichakachuliwa.''
Hili mimi niliamua kulishughulikia na nikaandika kitabu cha Abdul Sykes.
Mnataabika sana kukubali kuwa ilikuwapo mipango ya kuondoa majina ya wale waliounda TANU.
Lakini kwenye ukweli uongo hujitenga.
Kitabu cha Abdul Sykes kimebadili historia ya Tanganyika.
Toka kitoke mwaka wa 1989 hadi leo kimechapwa matoleo mañne.
Ukitaka kujua hali ilivyo hivi sasa ni kuwa katika kuadhimisha Nyerere Day juma lililopita nimehojiwa mara saba na TV station karibu saba pamoja na TBC, AZAM na mahojiano yetu nimeyaweka hapa.
Penye ukweli uongo hujìtenga.
Wahariri wanataka kusikia historia ya Mwalimu Nyerere kutoka kwangu.
Ndio ushangae..kipindi cha mwinyi mbona hawakutumia fursa hiyo..wana akaja JK hadi leo ssh bado wanalia lia kuonewa huruma..huyu mzee hafai anataka kupanda mbegu mbaya kwem3ye nchi yetu.Kwanini hivyo vyuo,shule msijenge toka nyererealivyofariki mpaka leo?
Hicho chama kilikua chake aakamuweka yeye nyerere awe kiongozi?..inamaana hakukua na uchaguzi wa wanachama kuchagua viongozi wao?...mjinga tu ndiye atakaye sikiliza huu upuuzi.Lombo,
Amefutwa katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika ingawa yeye ndiye aliyemtia Mwalimu katika uongozi wa TAA 1953 na 1954 TANU ikaundwa.
Mzee kilizi jibu hoja acha kulia lia..tuzo hata wajinga hupewa..hujui kuna tuzo hadi za wacheza p**n.Msanga...
Kuwahoji JF itakuwa hujafaya kitu cha maana sana.
Unapashwa kuwahoji Harvard na Oxford University Press, New York imekuwaje wakanichagua kuwa mmoja wa waandishi 500 walioshiriki katika mradi wa kuandika Dictionary of African Biography (DAB).
Halikadhalika utapashwa kuwahoji Oxford University Press, Nairobi imekuwaje wakanishirikisha katika mradi wao wa kuandika vitabu vya kusomesha historia na Kiingereza kwa shule za msingi.
Utapashwa vilevile uwahoji Northwestern University kwa kunialika kuzungumza chuoni kwao.
Tusimame hapa.
Hii tuzo ya JF kwangu ni ya tatu.
Tusiwabughudhi JF.
Ebu tukusikie..ulitakaje kwani?Watanzania tulio wengi hatuna utaratibu wa kuchimbua mambo tupo mstari wa mbele kukosoa matokeo ya walnayosema wengine
Hii nchi ukiisoma historia yake kama wewe ni muislamu utabaki unaumia roho tu ila kama wewe ni mkrsto hutaumia chochote zaidi ya hapo utaona walioandika ni wabaguzi wa kidini
Sajo...kipindi cha Magufuli naona uliufyata now after Magufuli umeibuka tena na Lugha zako kali za kichochezi unaongea takwimu bila kuweka data na kuonyesha ulikozitoa
sheria ya takwimu inasemaje? maana unaongelea takwimu bila kuthibitisha source ya kuaminika ya hizo takwimu zakoSajo...
Si kweli unaweza ukapita humu utaona makala zangu.
Unadhani naweza kumuogopa Allah SW na nikamuogopa Magufuli pamoja na yeye?
Ungeweza ukaandika maneno hayo bila ya kuandika tusi na ningekuelewa.
Ndugu yangu hiyo ghadhabu inasababishwa na kitu gani?
mtu yeyeto anayeipenda Tanzania lazima atagadhabika na uchochezi unaoufanyaSajo...
Si kweli unaweza ukapita humu utaona makala zangu.
Unadhani naweza kumuogopa Allah SW na nikamuogopa Magufuli pamoja na yeye?
Ungeweza ukaandika maneno hayo bila ya kuandika tusi na ningekuelewa.
Ndugu yangu hiyo ghadhabu inasababishwa na kitu gani?
Angalia post hiyo hapo chini na tarehe yake.
Si kana nakuwekea kukudhihirishia kuwa mimi ni mbabe.
Hapana.
Nimeweka kukufahamisha kuwa hukusema kweli.
View attachment 1991350
Mkuu, Mohamed Said!Inspector...
Kitabu hakibadiliki kama kilikuwa cha kichochezi kilipochapwa 1998 bado ni cha kichochezi 2021.
Tunakwenda chapa ya tano.
Kitabu hiki kinauzika sana.
Kama unavyoona hapa JF ninavyosomwa na kitabu ni hivyo hivyo.
Soma history vizuri..
Hawakutaka kupindua serikali ..
Walibambikiziwa kesi kwa kutofautiana na Nyerere....
Bibi Titi alipachikwa tu kwa kesi ambayo hata haijui..
Sajo...sheria ya takwimu inasemaje? maana unaongelea takwimu bila kuthibitisha source ya kuaminika ya hizo takwimu zako
Reginald...Mkuu, Mohamed Said!
Kikoje kwa bei?
Reginald...Mkuu, Mohamed Said!
Kikoje kwa bei?
Reginald...Mkuu, Mohamed Said!
Kikoje kwa bei?
Reginald...Mkuu, Mohamed Said!
Kikoje kwa bei?