Haha bwana Siku za Ajabu,umenielewa kweli?!Mnataka kujenga msikiti ktk shule hapo si mahali pake maeneo ya elimu itolewe elimu si pakujenga msikiti wala kanisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha bwana Siku za Ajabu,umenielewa kweli?!Mnataka kujenga msikiti ktk shule hapo si mahali pake maeneo ya elimu itolewe elimu si pakujenga msikiti wala kanisa.
Ila udom ilizidi udini enzi hizo, hafu hizi mambo za dini mbona akiingia Rais mwislamu ndio zinaanza chokochoko, maana waja wamsagia kunguni mama wa watu, pia taasisi za umma why ujenge nyumba ya ibada ya aina moja tu wakati hyo ni taasisi ya umma ka si ujinga niniMnataka kujenga msikiti ktk shule hapo si mahali pake maeneo ya elimu itolewe elimu si pakujenga msikiti wala kanisa.
Na wanafunzi waislamu kupewa ma possible ya mitihani before examsAise wasingeingilia UDOM kilikuwa kinakuwa a Muslim University. Walianza hadi kuwakamata mabinti wanaovaa nguo fupi!
Ilifika hapo?Na wanafunzi waislamu kupewa ma possible ya mitihani before exams
Aisee.Wakawaulize TISS ,huyo mama wanamwonea,nasikia wao waislam walianza kujitwalia nasafi nyeti serikali iliposhtuka wakamwondoa mkuu wa chuo,alieletwa mpya wakamfanyizia navyosikia,hapo unataka wachukue hatua gani zaidi yakusambalatisha hako kakikundi
Kusema hujawahi kujaza maform ya kazini yanaonyesha dini yako?Mleta mada naona ni wale ambao elimu kwao wanayopata ni ya madrasa tu huko kwingine hata uwasomeshe wanabaki na elimu ya madrasa tu ndio wanayoiamini
Serikali kwa taarifa yako ilishafuta mambo mawili makubwa unapoomba kazi hurusiwu kuandika wewe dini gani au kabila gani.
Sasa wewe mleta mada unaposema Kabaka alufukuza watumishi waislamu toka lini chuo kikuu Cha UDOM kinaajiri watumishi waislamu au wakristo.
Kama waliondolewa ni kwa kuvunja maadili ya kikazi sio ya kidini hawakuajiriwa pale Kama waislamu au Maimamu wa misikiti .Uimamu wakaitafute Bakwata sio vyuoni
Form zote za ajira serikalini na taasisi zake kipengele Cha dini na Kabila hakiko kabisa.Kusema hujawahi kujaza maform ya kazini yanaonyesha dini yako?
Hili ni kweli Madam Aziza yule albino mzenj alianza hadi kuwa anawawinda mabinti mpaka town yani anawawinda hadi nje ya chuo akiwakamata wanafukuzwa.Aise wasingeingilia UDOM kilikuwa kinakuwa a Muslim University. Walianza hadi kuwakamata mabinti wanaovaa nguo fupi!
Jiheshimu wewe, unataka na wao waruhusu ndoa za jinsia moja zifungwe kwenye Nyumba za ibada? hiyo ndio sheria ya akili?Tatizo la waislam wakipewa uhuru sana wanajisahau sana...
Wanajiona wao ni kila kitu, wataanza sheria zao za kijinga..
HakunaKusema hujawahi kujaza maform ya kazini yanaonyesha dini yako?
😅😂Mleta mada naona ni wale ambao elimu kwao wanayopata ni ya madrasa tu huko kwingine hata uwasomeshe wanabaki na elimu ya madrasa tu ndio wanayoiamini
Serikali kwa taarifa yako ilishafuta mambo mawili makubwa unapoomba kazi hurusiwu kuandika wewe dini gani au kabila gani.
Sasa wewe mleta mada unaposema Kabaka alufukuza watumishi waislamu toka lini chuo kikuu Cha UDOM kinaajiri watumishi waislamu au wakristo.
Kama waliondolewa ni kwa kuvunja maadili ya kikazi sio ya kidini hawakuajiriwa pale Kama waislamu au Maimamu wa misikiti .Uimamu wakaitafute Bakwata sio vyuoni
Kweli tupuTatizo la waislam wakipewa uhuru sana wanajisahau sana...
Wanajiona wao ni kila kitu, wataanza sheria zao za kijinga na kipumbavu..
Kwanini wasijenge msikiti nje ya chuo? ni mambo ya ajabu snMleta mada naona ni wale ambao elimu kwao wanayopata ni ya madrasa tu huko kwingine hata uwasomeshe wanabaki na elimu ya madrasa tu ndio wanayoiamini
Serikali kwa taarifa yako ilishafuta mambo mawili makubwa unapoomba kazi hurusiwu kuandika wewe dini gani au kabila gani.
Sasa wewe mleta mada unaposema Kabaka alifukuza watumishi waislamu toka lini chuo kikuu Cha UDOM kinaajiri watumishi waislamu au wakristo.
Kama waliondolewa ni kwa kuvunja maadili ya kikazi sio ya kidini hawakuajiriwa pale Kama waislamu au Maimamu wa misikiti .Uimamu wakaitafute Bakwata sio vyuoni