Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

Ahsante sana Mzee wangu,basi maelezo ya picha yatakuwa na kasoro maana umesema kwa hiyo picha ni mwaka 1968.Kwa maelezo haya maana yake hiyo picha imepigwa 1970.
Nyamizi,
Pichi hii tulipiga mwaka wa 1968 miezi michache baada ya Kleist kufiwa na baba yake.

Mimi nimezaliwa mwaka wa 1952 mwaka wa 1968 nina miaka ya 16.

Ikiwa nimeandika 18 itakuwa nimekosea.

Ahsante sana.
 
Here we go again, he goes "Mgawano wa fulsa" how do you mean? Kwani fulsa zinagawanwa au inategemea na akili za MTU kuchangamkia fulsa - wakati mwingine mnashangaza sana sana

Labda nikuhoji swali dogo: Hivi Tanzania kuna sect ngapi za kidini? Za kikristo na zaidi ya kumi,dini za kihindi sijui ngapi, wapagani nk - mbina hao wote hawsjseshi kulalama kwamba: sijui wanaonewa au kusahurika au hawapewi fulsa sawa - lawama mwanzo mwisho na kibaya zaidi mnapandikiza chuki zenu mpaka kwa watoto kwenye madrassa, badala ya kuwafundisha masuala ya dini mnapoteza muda mwingi kuwaharibu kisaikolojia kujenga dhana kwamba Waislaam hawatendewi haki katika taifa letu as if hakuna madhehebu mengine nchini zaidi yenu, hapa nataka nieleweke vizuri, mimi sina tatizo na Waaslamu kwa jumla, ninacho kemea ni hawa baadhi yenu wenye itikadi za ajabu ambao masaa yote wanayapoteza wakilalama kwamba hawatendewi haki, hawapewi vyeo Serikalini na kwenye mashirika ya UMMA, mambo gani haya kama siyo agenda za chini chini za kutaka Taifa letu lianze kuvurugika kwa misingi ya kidini, yaani baadhi ya hawa wenye itikadi za ajabu ajabu wanatamani masahibu yanayo ikumba Nigeria ya kasikazini na Msumbiji ya Kasikazini yahamie Tanzania.
Bukya...
"Fursa," "kusahaurika,"...

Naona unapatishwa shida na L na R.

Unataka kuwaleta Wapagani na dini za Kihindi katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika?

Utawapachika wapi?
 
Bukya...
"Fursa," "kusahaurika,"...

Naona unapatishwa shida na L na R.

Unataka kuwaleta Wapagani na dini za Kihindi katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika?

Utawapachika wapi?
Mzee Said hujafanya kazi Udoma, hivyo huifahamu Udom. Umeshikilia ya kuambiwa. Hakuna waislamu waliofukuzwa Udom, wale wamehamishwa kwa taratibu za kawaida za serikali.

Pia, ujenzi wowote ndani ya taasisi ya serikali unapaswa kufuata taratibu kwa kupewa baraka na bodi husika ila kuzuiwa migongano isiwepo. Sababu kubwa ni kukwepa wafadhili wenye kulalia mrengo wa dhehebu au itikadi moja....kiutaratibu ardhi/mali/majengo ya umma ni kwa matumizi ya watu wote bila kujali itikadi ya mtu.

Sasa kwa sababu viongozi wakuu wa chuo walikuwa Waislamu ndio wafanye maamuzi kama wao kwamba ujenzi uanze pasipokushirikisha vyombo husika?

Serikali yetu haina dini, na watendaji wake wanapaswa kujua hilo ili kuwawezesha kutoa huduma bila ubaguzi.

Naona wako baadhi ambao wameanza kutafuta mchawi.

Tumuunge mkono Rais wetu mpendwa Mama Samia ktk kulipa wema pale palipoonesha chuki ama ubaya...tukishadadia kumpoteza kwa miluzi mingi ya visasi na malipizi tunapanda mbegu mbaya ktk taifa letu.

Tanzania ni yetu sote, tupendane watanzania. Tuhibiri dini kwenye mimbari ya dini, na tunapohubiri tuhubiri amani sio chuki.

Mwenyenzi Mungu ni Mungu wa upendo mwingi sana, tumtake yeye ktk maisha yetu.
 
Soine,
Kweli siijui UDOM.

Lakini uhamisho Waislam 11?
Sisi pia tuna taarifa ambazo tunaziamini.

Bahati mbaya sana wahusika ni waoga kujitokeza kuweka mambo haya hadharani.

Tuna mifano mingi ya dhulma kama hizo.
 
Nashukuru umekiri hujui...wahusika ni waoga kwa sababu wanaijua kweli yote.

Wamehamishwa wafanyakazi wengi wakiwemo wakristo na wapagani, hata Udsm na colleges zake nao wamehamishwa. Na uhamisho utaendelea kwa taratibu za kawaida za serikali, labda siasa ziingilie kati.

Ktk hao 11 waliohamishwa kuna maguru ambao walikuwa wazuri ktk fani zao kiasi kwamba hata Udom wasingependa kuwaachia, ila wamepelekwa kwenye sehemu ambazo mchango wa utalaamu ktk fani zao utalisaidia taifa pakubwa sana.
 
Huwa kunapokuwa na mjadala kama huu lazima watatajwa Wapagani.

Huwa inanifurahisha sana hasa ninapoangalia ni nani anajificha nyuma ya Upagani.

Huu ni utani.
Wapagani walipigania uhuru wa Tanganyika?

Kulikuwa na tatizo la NECTA hadi kupelekea Waislam kufanya maandamano ingawa palitokea vitisho kuwa hatua kali zitachukuliwa.

Nilikuwepo kwenye haya maandamano nikipiga picha na kurekodi sauti.

Serikali ilirudi nyuma ingawa nje ya msikiti tulipoanzia maandamano askari walitanda kuwatisha Waislam.

Makachero walikuwapo pia ndani ya msikitini.

Sheikh Ponda alitoa hotuba nzuri sana iliyowatoa waumini machozi akisema "Ndugu zetu wanasema hatuko katika uongozi wa nchi kwa kuwa hatuna elimu leo tunajenga shule tunasomesha wanetu NECTA inahujumu shule zetu.

Ikiwa sisi leo hatutoandamana kwa hili tunasubiri tufanyiwe lipi kubwa zaidi ya hili ndiyo tuandamane?

Allah ametufunza Waislam tusidhulumu na tusikubali kudhulumiwa.
Mimi nitakuwa mbele kuongoza maandanano haya."

Hapa ndipo nilopoona watu wanafuta machozi."
Sheikh Ponda aligeuka akaelekea kibla akanyanyua mikono yake kuomba dua.

Tukiwa tuko katika maandamano serikali ikaleta salamu kuwaomba Waislam wasiingie mjini maandamano yaelekee Kidongo Chekundu na pale viongozi wa Waislam watachukuliwa hadi Wizara ya Mambo ya Ndani kuwasilisha malalamiko yao.

Natoa maelezo haya yote ili ujue kuwa haya si mambo ya maskhara.

Lipo tatizo.
Turejee UDOM.

Ujumbe wa Waislam umefika kwao na umeeleweka kama walivyoelewa NECTA.

Hawa viongozi ambao wanasimamia haki za Waislam ambao serikali iliwapokea Wizara ya Mambo ya Ndani si BAKWATA.

Serikali inatambua kuwa lipo tatizo na ndiyo maana siku ile Waislam hawakupigwa mabomu ya machozi na wakawapokea viongozi ambao si BAKWATA.

Wataalamu waliwaeleza ukweli.
Taratibu kwa njia za mijadala kama hii na kwa amani haki yetu itapatikana.

Taratibu tumeirejesha historia ya Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika na sasa inafahamika.

Ilifutwa kwa miaka mingi lakini tumeiandika na sasa tunayo.
Hili pia litafahamika.
 
GAUDENSIA KABAKA MWENYEKITI WA UWT?

Mwenyekiti wa UWT Gaudensia Kabaka ndiye aliyehusika kuwafukuza Waislam 11 Chuo Kikuu cha Dodoma na kusimamisha ujenzi wa msikiti hapo chuoni ambao ujenzi wake ulishaidhinishwa.

Leo yupo katika sherehe za kumuenzi Bi. Titi Mohamed.

Huyu ndiye kiongozi aliyewafukuza wajukuu wa Bi. Titi hapo chuoni na kuzuia ujenzi wa msikiti.

Kwa yale aliyopigania Bi. Titi Mohamed na wanawake wote katika TANU ya enzi zile huu ni msiba mkubwa.

Huyu Mama hastahili kuongoza wala kunasibishwa na umoja huu ulioasisiwa na mama zetu akina Bi. Titi, Bi. Hawa bint Maftah, Bi. Zarula bint Abdulrahman kwa kuwataja wachache.

Angalieni picha hiyo ya kwanza hapo chini pcha iliyopigwa na Mohamed Shebe ya mkutano wa TANU 1955 wakati wazee wetu wanautafuta uhuru wa Tanganyika.

Angalia huo umma Viwanja Vya Mnazi Mmoja na tazama hiyo sehemu nyeusi.

Hayo ni mabaibui ya bibi. mama, na shangazi zetu wamekuja kuujaza uwanja na kumtia nguvu Mwalimu Nyerere.

Mama zetu wameitika mwito wa "kuno kuno."

Hapo ndipo walipokuwa wakiimba nyimbo za lelemama kuhamasisha umma,
''Muheshimiwa nakupenda sana wallahi sina mwinginewe Insha Allah Mungu yupo Tanganyika tutajitawala.''

Tujitawale halafu iwe nini?
Gaudensia Kabaka anyanyase Waislam, Gaudensia avunje misikiti yetu?

Gaudensia Kabaka awafukuze chuoni wajukuu wa hawa wanawake unaowaona hapo chini kwenye picha?

Picha ya pili hao wote mbele hapo wanaongoza maandamano ya akina mama mimi mama zangu.

Hao ndiyo msingi wa UWT.

Yupo Bi. Mwamvua bint Mrisho (Mama Daisy), Bi. Titi Mohamed na Bi. Zainab Tewa.

wewe mzee ni mjinga na wa kupuuzwa tu, huna nidhamu hata kidogo.
Vijana wafanye vurugu halafu waachwe tu kisa waislamu?
Umesoma ila hujaelimika una maji kwenye ubongo wako mjinga wewe
 
Soine,
Kweli siijui UDOM.

Lakini uhamisho Waislam 11?
Sisi pia tuna taarifa ambazo tunaziamini.

Bahati mbaya sana wahusika ni waoga kujitokeza kuweka mambo haya hadharani.

Tuna mifano mingi ya dhulma kama hizo.
We punguani sana, nenda kajitoe mhanga utakutana na Hamza huko jinga wewe
 
Mi natamani kujua kwanini Bibi Titi Mohammed hakuunga mkono azimio la Arusha?

Bibi Titi alikosana nini na Mwalimu Nyerere mpaka akavuliwa vyeo vyote na akafungwa jela??

nilisoma mahali, yeye pia alikua na mali kadhaa (hasa nyumba), na azimio la Arusha lilikua linaFocus hasa na watumishi wa umma na umiliki wa mali nyingi….japo alijitetea kuwa mali zake alipata kwa njia halali, azimio bado lilikua linambana hapo ndio chanzo cha kupishana na mwalimu
 
Mr...
Ugomvi wa Titi na Nyerere ulianza mwaka wa 1963 ndani ya Halmashauri Kuu ya TANU pale Suleiman Kitundu na Rajab Diwani walipoleta hoja kuwa Aga Khan anataka kuitawala Tanganyika kupitia East African Muslim Welfare Society (EAMWS).

Wakashauri EAMWS ivunjwe.
Aga Khan alikuwa Patron wa jumuia hii.

Titi Mohamed akasimama kuwapinga kwa kudai ushahidi.

Nyerere na Titi wakapishana lugha katika namna ambayo ilizua ugomvi.

Nyerere alitegemea kuungwa mkono na wajumbe Waislam katika hili lakini ikashindikana.

Titi akamwambia Nyerere kuwa EAMWS imekuwapo kabla ya TANU na ikiwasaidia Waislam hakuna mtu wa kuivunja.

Titi akamwambia Nyerere kuwa yeye hamuogopi mtu yeyote ila Allah.

Huu ndiyo ukawa mwanzo wa upasi baina yao.

Na mengine yakafuatia.
 
hii ndio naisoma kwako chief, ikaendelea nini hebu tupe story zaidi
 
Hili andiko limejaa chuki, unafiki na uchonganishi.

Huyu Ndugu muda wote yeye ni kuwazia dini yake tu.

Tumshukuru sana Mungu kumleta Mwalimu Nchi hii ingeangukia kwenye mikono ya hii familia hakika ingekuwa ni majuto.
Dhuluma hazikubaliki
 
hii ndio naisoma kwako chief, ikaendelea nini hebu tupe story zaidi
Mr.
Uhuru ulikuja na changamoto zake.

Baada ya uhuru kupatikana kikazuka kitu kipya - kuunyanyapaa Uislam.

Katika uchaguzi wa serikali za mitaa Bukoba na Kigoma walijitokeza watu kuwapinga wagombea wa TANU Waislam kwa kuwa hawana elimu na wao wanaelimu kubwa.

Si shida kujua hawa wagombea walitokea wapi.

Watu wakawa wanasema sisi tusiokuwa na elimu si ndiyo tuliyounda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika leo nchi iko huru hatufai?

Huu ulikuwa mwaka wa 1963.

Mwaka huu Baraza la Wazee TANU chini ya Mwenyekiti wake Iddi Tulio likavunjwa kwa madai kuwa linachanganya dini na siasa.

Hili lilikuwa pigo kubwa sana kwa wazee wetu kwani hawakutakiwa hata kuonekana ofisi ya TANU.

Tusimame hapa yapo mengi mengine.
 
tuendelee chief, kwanini tusimame hapa?
tupe historia zaidi ila ikiwezekana na uthibitisho itapendeza ili hata wakija wengine kuongezea au kupinga kuwe na hoja kamili,

nipo kujua historia zaidi…..tuendelee tu
 
Nilipomkabidhi mswada wa kitabu publisher akakuta nimeandika: Bismillah Rahman Rahim.

Akaniuliza haya maneno nini maana yake?

Nikamwambia kuwa maana yake ni Kwa jina la Allah...

Akaniuliza kwa nini unaanza kitabu namna hii?

Nikamwambia kuwa nataka msomaji ajue na aniamini kuwa niandikayo ni kweli.

Akaniomba nifute nikakataa.

Abdillatif Abdallah siku hizo yuko London ndiye aliyenituliza nikakubali kuyaondoa hayo maneno.

Nina ushahidi wa yote niliyoandika.
Ikitoshe tu kuwa toka kitabu kitoke 1998 hakuna aliyejitokeza kunipinga kuwa nasema uongo.

Tuendelee.

Katika Muslim Congress ya 1963 zikapatikana taarifa kuwa kuna njama za kuhujumu mkutano na pia kuwa kuna wajumbe wa Congress wamealikwa Government House kwa chakula cha usiku na wakashauriwa kuwa watoe hoja ya Tanganyika kujitoa EAMWS ili waunde jumuia nyingine ya Waislam ambayo haitakuwa na viongozi Wahindi.

Mufti Sheikh Hassan bin Ameir alikuwa na taarifa zote na akamwagiza Bilal Rehani Waikela akabiliane na njama hizi na atoe majibu ndani ya kikao kile.

Pendekezo la kujitoa lilipoletwa Bilal Rehani Waikela alipinga kwa ushahidi wa Qur'an kuwa Allah ameagiza umoja na kakataza ubaguzi wa aina yoyote Wahindi ni Waislam kama walivyokuwa Waafrika.

Mwalimu Nyerere alipokuja kufunga mkutano ule alisomewa risala msomaji akiwa Bilal Rehani Waikela kati ya waasisi wa TANU na Katibu wa EAMWS Western Province.

Risala ilikuwa kali Waikela akimkumbusha Nyerere mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Ilikuwa haijapata kutokea.

Haya niloyoeleza yaliifunga mwaka wa 1963.

Januari tarehe 20 1964 Tanganyika Rifles waliasi.

Baada ya maasi kumalizwa na Waingereza masheikh wengi walikamatwa pamoja na viongozi wa wafanyakazi wakawekwa kizuizini.

Bilal Rehani Waikela na babu yangu Salum Abdallah wakatiwa nguvuni na kufungwa Jela ya Uyui, Tabora.

Kuanzia hapa Waislam wakawa wamedhoofika na EAMWS ikawa ipo ipo na kuanza kulegalega kwa ofisi zake nyingi majimboni kufungwa.

Mambo yatapamba moto mwaka wa 1968 siku Bi. Titi na Tewa Said Tewa watakapokutana uso kwa macho na Nyerere kutaka kujua kwa nini serikali ilikuwa inaipiga vita EAMWS?

Kisa cha kusisimua kilichomalizikia kwa serikali kuvunja EAMWS na kuunda BAKWATA na kiongozi wa Waislam Mufti Sheikh Hassan bin Ameir kukamatwa na kurejeshwa kwao Zanzibar na kupigwa marufuku kutotia mguu wake Tanzania Bara.
 
Hivi unajua Nyerere kaja Dar es Salaam hana ndugu wala jamaa?

Unawajua waliompokea?
Halafu wee Babu bana? umezidi kutupiga za chembe?? heee!! unadhani woote humu hatukusoma?? Mie nimekwenda Bukoba sina ndg but nilifikia shule boarding! nikaishi safi kabisa! Ok!! nimeenda Nairobi simjui mtu hata!! lkn nilifikia kwa kampuni iliyo nipeleka huko!! baadae nikapata marafiki!!!

hata huko kwao au kwetu kijijini babu wali hamia!! wakapata marafiki hiyo ni kawaida kwa mwanadamu yeyote! ndo maisha ya kawaida sasa siyo ubebe mabega juu eti alikuja tukampokea mlimjua atakuwa nani bana?? acha hizo mzee!

huwezi pokea mtu kirahisi tu tena usiye mjua tu bila kautabiri ka kina labda uwe na maatizo ya akili ! tena mtu mwenyewe hata kiswahili hakipandi vyema!! mnasemaga ivi nanukuu''shekhee mshamba wa bara ulee!! wakuja aongea kwa nguvu ka trekta vile ati"

mtu usiye mjua?? thubutu!! akikunyonga usiku?? bana tusidanganyane!! sasa akiwa mchawi je? mwizi/jamba wazi! je utalia na nani?? si utakuwa kichekesho mjini! hata rafikizo watakwambia wamjua huyooo!! weye?

kwanza hata yeye mpokelewa!! ukija kichwa kichwa atakuogopa!!! hata km ni wewe!! atakuamini vipi kuwa wewe ni salama na hakujui!! haikuji akilini!! kwa mtu mwenye akili! timamu bana!

Ugenini bana pako ivi utapokelewa na mtu kutoka ofisi husika maalumu iliyokuita eneo husika, au ndugu, rafiki uliosoma nao! tena kwa maelekezo ya awali hali itakavo kuwa!! baasi!! tena kwa yeye kujitambulisha vyema!

Nyerere alisha soma na watu wengi kipindi hicho! ...hata ndugu zake, wazanaki, wakurya, wajita, wahaya kina Sir George Kahama walikuwemo jijini humo! nyakati hizo wengine wazanaki walikuwa waajiliwa KAR wakongwe!

Ukoloni hkn mzaramo aliye pewa heshima ya kuitwa Sir. uongo Babu? km yupo mseme nani?

familia tajiri tangu enzi za ukoloni za kina Paul Bomani! wasukuma wa Musoma/shinyanga hao! waliachaga alama za utajiri jana leo mpaka kesho! iweje awaruke hao woote wanao juana tangia kijijini mpaka aendee apokelewe na wazaramo wa buguruni??

sema tu mlionana ktk harakati zake za kudai uhuru......apo sawa!! hata suti ya kuendea UNO kashonewa na P' Bomani Una bisha babu?
 
wajumbe wa Congress wamealikwa Government House kwa chakula cha usiku na wakashauriwa kuwa watoe hoja ya Tanganyika kujitoa EAMWS
Kagera Babu ulienda?? kupambana na Idd Amini? Msumbiji kule kuokoa ndugu zetu? ushelisheli nako je! Zimbabwe? tuanzie hapo!! mwenzako babu Makongoro Nyerere alienda na huyo hapo karudi!!

nasikia kuna watanzania mlitorokaga kujiunga na JKT,JW, weye ulikuwa kambi gani babu! kwanza mwenzako kawawa alienda na jk mwenyewe! weye kambi gani? ukinithibitishia hapa najua ulikuwa kamanda siyo maneno tupu

si unamuona mzee mwenzako ulimwengu yule mzee bana mpaka UNO kaenda yule!! na picha zake ziko humu!! ktk story zako zooote sijawahi kusikia ukimtaja Ulimwengu!! wala kwenda mstari wa mbele km kina maerehem Hashim mbita!

STORY zako laini laini tuuuuuuuuu
 
Babu katoroka jukwaa!! ameingia mitini mazima njoooo huku ujibu hojaaaQQ QQ weye babu bana
 
Mr.
Nilipomkabidhi mswada wa kitabu publisher akakuta nimeandika: Bismillah Rahman Rahim.

Akaniuliza haya maneno nini maana yake?

Nikamwambia kuwa maana yake ni Kwa jina la Allah...

Akaniuliza kwa nini unaanza kitabu namna hii?

Nikamwambia kuwa nataka msomaji ajue na aniamini kuwa niandikayo ni kweli.

Akaniomba nifute nikakataa.

Abdillatif Abdallah siku hizo yuko London ndiye aliyenituliza nikakubali kuyaondoa hayo maneno.

Nina ushahidi wa yote niliyoandika.
Ikitoshe tu kuwa toka kitabu kitoke 1998 hakuna aliyejitokeza kunipinga kuwa nasema uongo.

Tuendelee.

Katika Muslim Congress ya 1963 zikapatikana taarifa kuwa kuna njama za kuhujumu mkutano na pia kuwa kuna wajumbe wa Congress wamealikwa Government House kwa chakula cha usiku na wakashauriwa kuwa watoe hoja ya Tanganyika kujitoa EAMWS ili waunde jumuia nyingine ya Waislam ambayo haitakuwa na viongozi Wahindi.

Mufti Sheikh Hassan bin Ameir alikuwa na taarifa zote na akamwagiza Bilal Rehani Waikela akabiliane na njama hizi na atoe majibu ndani ya kikao kile.

Pendekezo la kujitoa lilipoletwa Bilal Rehani Waikela alipinga kwa ushahidi wa Qur'an kuwa Allah ameagiza umoja na kakataza ubaguzi wa aina yoyote Wahindi ni Waislam kama walivyokuwa Waafrika.

Mwalimu Nyerere alipokuja kufunga mkutano ule alisomewa risala msomaji akiwa Bilal Rehani Waikela kati ya waasisi wa TANU na Katibu wa EAMWS Western Province.

Risala ilikuwa kali Waikela akimkumbusha Nyerere mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Ilikuwa haijapata kutokea.

Haya niloyoeleza yaliifunga mwaka wa 1964.

Januari tarehe 20 1964 Tanganyika Rifles waliasi.

Baada ya maasi kumalizwa na Waingereza masheikh wengi walikamatwa pamoja na viongozi wa wafanyakazi wakawekwa kizuizini.

Bilal Rehani Waikela na babu yangu Salum Abdallah wakatiwa nguvuni na kufungwa Jela ya Uyui, Tabora.

Kuanzia hapa Waislam wakawa wamedhoofika na EAMWS ikawa ipo ipo na kuanza kulegalega kwa ofisi zake nyingi majimboni kufungwa.

Mambo yatapamba moto mwaka wa 1968 siku Bi. Titi na Tewa Said Tewa watakapokutana uso kwa macho na Nyerere kutaka kujua kwa nini serikali ilikuwa inaipiga vita EAMWS?

Kisa cha kusisimua kilichomalizikia kwa serikali kuvunja EAMWS na kuunda BAKWATA na kiongozi wa Waislam Mufti Sheikh Hassan bin Ameir kukamatwa na kurejeshwa kwao Zanzibar na kupigwa marufuku kutotia mguu wake Tanzania Bara.

unataka kusema masheikh walihusishwa na uasi uliofanywa na Tanganyika rifles?

bado kuna vitu nahisi havijakaa sawa either hii haikuwa kweli au kuna story zaidi nyuma ya pazia, kwanini Mwalimu auchukie uislamu hivyo bila sababu za msingi!?
 
Back
Top Bottom