Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

Form zote za ajira serikalini na taasisi zake kipengele Cha dini na Kabila hakiko kabisa
Nielewe ndugu:-

Umeshapata kazi, mkataba wako wa kudumu, History sheet utaonyesha vitu kama
1. Name
2. DOB
3.Nationality
4. Religion
5. Tribe

Hivi vyote havitoshi kukuonyesha wewe ni nani?
 
Hakuna

Hata Sasa kazi zote zinazotangazwa na serikali ingia online uombe hakuna popote kipengele u atakiwa ujaze wewe kabila gani au dini gani
We unaomba kazi, mwenzako nafanya kazi sihangaiki na mambo yenu ya mtandaoni.
 
Mama anaundiwa zengwe atumbuliwe
Hapa ndio utajua kwanini maRais wakiwa waislam, magereza huwa yanajaa sana waislam kwa makosa kama ugaidi.

Maana hawa watu hakuna kitu utafanya wataridhika.

Wana mapepo ya vurugu na chokochoko muda wote.

Mtu anakwambia kuna 20:80 kwamba wanafunzi wa kiislam wanafelishwa na NECTA.

Mara analeta stori za BAKWATA na EAMW ya enzi za ukoloni sasa hivi ni ilimradi fujo tu.

Mara Ndalichako alikuwa anawafelisha waislamu, Kikwete akamtoa bado wanalalamika eti kwanini wameweka walewale yaani mkristo Charles Msonde.

Wakati wa Kikwete hawa watu walimsumbua sana.

Mkapa mpaka alichukua eneo la TANESCO akawapa wakajrnga chuo cha MUM Morogoro cha kushngaza maprofesa happ wamekuwa kina Sheikh Ponda ni mihadhra mwanzo mwisho.

Samia akianza kuwachekea hawa wajinga watamshika mpaka Mboni ya jicho.
 
Kwako Mwwnyekiti wa UWT Taifa.
Hata kwetu tusio wanachama wa CCM.

Taasisi unayoiongoza ni kubwa na imebeba sehemu historia ya Tanzania

Hivi karibuni kuna kuna mwandishi aliandika shutuma kubwa dhidi yako kuwa eti hustahili kuwa Mwenyekiti wa UWT, kwa kuwa wewe ulishiriki kuwakandamiza Waislam pale Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kuzuia kujengwa msikiti na hatimaye kuwafukuza Watumishi 11 Waislam

Mwandishi amebainisha kuwa wewe hustahili kuongoza Jumuia iliyoaasisiwa na Waislam kina Bibi Titi Mohamed na Leo unawanyanyasa Waislam.

Mama hizi shutuma ni nzito sana kwako kukaa kimya bila kusema lolote haina afya kwako wala chama chako.

Tafadhali jibu shutuma hizi Waislam wajue pumba na mchele,
kinyume chake Umma wa Waislam hautakuelewa.

Andiko hili lipo JamiiForums tangu Oktoba 23 2021
UDOM kuna KANISA? Kwanini mlitaka kujenga msikiti
 
Hapa ndio utajua kwanini maRais wakiwa waislam, magereza huwa yanajaa sana waislam kwa makosa kama ugaidi.

Maana hawa watu hakuna kitu utafanya wataridhika.

Wana mapepo ya vurugu na chokochoko muda wote.

Mtu anakwambia kuna 20:80 kwamba wanafunzi wa kiislam wanafelishwa na NECTA.

Mara analeta stori za BAKWATA na EAMW ya enzi za ukoloni sasa hivi ni ilimradi fujo tu.

Mara Ndalichako alikuwa anawafelisha waislamu, Kikwete akamtoa bado wanalalamika eti kwanini wameweka walewale yaani mkristo Charles Msonde.

Wakati wa Kikwete hawa watu walimsumbua sana.

Mkapa mpaka alichukua eneo la TANESCO akawapa wakajrnga chuo cha MUM Morogoro cha kushngaza maprofesa happ wamekuwa kina Sheikh Ponda ni mihadhra mwanzo mwisho.

Samia akianza kuwachekea hawa wajinga watamshika mpaka Mboni ya jicho.
Polepole mkuu,yaani ukiingia pale MUM utafikiri upo Tandale kwa Mtogole!
 
Nielewe ndugu:-

Umeshapata kazi, mkataba wako wa kudumu, History sheet utaonyesha vitu kama
1. Name
2. DOB
3.Nationality
4. Religion
5. Tribe

Hivi vyote havitoshi kukuonyesha wewe ni nani?
Serikalini na Taasisi zake zote hakuna form ya hivyo religion na Tribe havipo kabisa kwenye form labda huko sekta binafsi lakini serikalini na Taasisi zake Hakuna hivyo vipengele kuanzia unapoomba kazi Hadi kujaza form ya mkataba havipo
 
Mimi ni mwislamu,na huyo mama namjua sana toka akiwa mkuu wa chuo cha ualimu butimba mwanza,ni mama ambae anahitsji huruma ya watu,kwani alibahatika kupata watoto 2 tu,mmoja wa kike na mmoja wa kiume na wote walikufa wakiwa watu wazima,tumhurumie mama huyu,haya maneno ya nini jamani

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hapa umeonesha ujinga tu kwa kuufunika na dini yako.
 
Mleta mada leta jina la huyo mwandishi uliyemficha tuanze naye, kama hutaki kumuanika hapa tumjue hii habari yako ni majungu tu.
 
Serikalini na Taasisi zake zote hakuna form ya hivyo religion na Tribe havipo kabisa kwenye form labda huko sekta binafsi lakini serikalini na Taasisi zake Hakuna hivyo vipengele kuanzia unapoomba kazi Hadi kujaza form ya mkataba havipo
Ujuaji mwingi kumbe ni kolo. Mimi nipo serikalini, nimejaza history sheet ya mkataba wa ajira. Wewe ndio bado unaomba kazi tutaelewana? Subiri upate ajira kwanza halafu uje ubishe.
 
Aise wasingeingilia UDOM kilikuwa kinakuwa a Muslim University. Walianza hadi kuwakamata mabinti wanaovaa nguo fupi!
CBE walikua wanazuia wanafunzi wa kiume kusuka, kuvaa hereni na kuvaa mlegezo kilikua chuo cha kiislam?

Tatizo lenu wenzetu hamna hoja mnaendekeza kuchi ambazo hata Yesu mwenyewe anawashangaa.

Nafasi za waislamu nchi hii katika ngazi ya uongozi ni chache sana na bado sisi hatujengi hoja si dhaifu kwa kuwa haina haja kugombea fito za kujenga njumba Moja.
 
Hapa ndio utajua kwanini maRais wakiwa waislam, magereza huwa yanajaa sana waislam kwa makosa kama ugaidi.

Maana hawa watu hakuna kitu utafanya wataridhika.

Wana mapepo ya vurugu na chokochoko muda wote.

Mtu anakwambia kuna 20:80 kwamba wanafunzi wa kiislam wanafelishwa na NECTA.

Mara analeta stori za BAKWATA na EAMW ya enzi za ukoloni sasa hivi ni ilimradi fujo tu.

Mara Ndalichako alikuwa anawafelisha waislamu, Kikwete akamtoa bado wanalalamika eti kwanini wameweka walewale yaani mkristo Charles Msonde.

Wakati wa Kikwete hawa watu walimsumbua sana.

Mkapa mpaka alichukua eneo la TANESCO akawapa wakajrnga chuo cha MUM Morogoro cha kushngaza maprofesa happ wamekuwa kina Sheikh Ponda ni mihadhra mwanzo mwisho.

Samia akianza kuwachekea hawa wajinga watamshika mpaka Mboni ya jicho.
Chuo Cha morogoro walipewa bure kuwa haya na nyie chuo chenu hicho mnasingizia waislamu wako nyuma chukueni bure

Lakini leo hii maprofesa waislamu wenyewe hawataki kwenda kufundisha pale

Wanafunzi wa kiislamu wenyewe wanakikwepa wamejaa wazanzibari tu pale ndio asilimia kubwa nao sio wengi wa kukijaza full
Walilia wakapewa kukiendesha mgogoro!!! Hakivutii wengi kujiunga wawe wa misikitini au la

Utasikia ohh TANU ilianzishwa na waislamu utafikiri ilianzia msikitini!!!! Wakati ilianzia mitaani.Lakini ukiwasikiliza waweza dhani labda ilianzia msikitini Kumbe hamna.Kadi ya TANU haikuwa na sehemu yeyote ya kuonyesha huyo mwenye kadi ni dini gani iwe kadi namba moja au elfu!!!

Waislamu Huwa ni pasua kichwa hasa akishika Raisi Muislamu Wana Tabia ya kumsumbua sana ,akishika mkristo wanaufyata lakini akishashika muislamu tu shida .Mwinyi alipigwa Hadi vibao na muislamu kwenye mhadhara wa kiislamu,Kikwete aliteswa na ugaidi Hadi kuwasweka ndani kwa hasira

Kifupi Wana Tabia ya kuanza kusumbua mwislamu mwenzao akiwa Raisi kuanzia mitaani,maofisini na vurugu za wao kwa wao
 
Back
Top Bottom