Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

Janjaweed,
Vipi nitakufa ajuaye Allah SW.
Ni sawa kabisa

What I expressed is the level of dismay niliyonayo Kwa jinsi usivyo hata na lepe la aibu au staha when it comes to ubaguzi wa kidini

I don’t know mimi au wewe tutakufaje… kwenye fasihi inakubalika nilichosema
 
Janjaweed,
Huu ni mjadala wa kistaarabu tunajadili mambo muhimu ya nchi yetu.

Mimi naeleza mambo niliyotafiti na kuandika na wengine wananihoji na najibu kadri ninavyoweza.

Unaniita mimi mbaguzi tena kwa jeuri na kuzungumza mabomu kuua watu.

Huu si mjadala wetu.

Mjadala ni kuwa kwa nini historia ya uhuru wazee wangu waliounda chama cha TANU majina yao yalifutwa?

Huna majibu basi hakuna haja ya kufokeana.
Kwahiyo ukitumia udini ndiyo yatarudi?
 
Kwahiyo ukitumia udini ndiyo yatarudi?
Mzee kilizi anataka huruma..anataka apewe ikulu..anata nchi iwe ya kiislamu..anataka babu zake skyes wawe baba wa taifa..anataka kila taasisi ya serikali kuwe na msikiti..hizi ndio hoja zake kuu..mengine yote anayosema ni porojo tupu.

Kiufupi tu mzee hizo ni ndoto za mchana..fanya tu ulee wajukuu ukisubiri kifo..hayo hayawezekani..tanzania ni kubwa kuliko huo ujinga wako na vi historia vyako uchwara

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lombo,
Hapana usijitese bure kwa miaka mingi watu wameamini historia ya iliyoandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni.

Hapana ugomvi.

Wala hakuna anaekulazimisha lazima uamini historia niloyoandika kutoka Nyaraka za Sykes inayeleza kuwa kadi no. 1 ya TANU ni ya Julius Kambarage Nyerere, kadi no. 2 ni Ally Kleist Sykes, kadi no. 3 ni Abdulwahid Kleist Sykes, kadi no. 4 Dossa Aziz, kadi no.5 Denis Phombeah, kadi 6 Dome Okochi Budohi, kadi 7 Abbas Kleist Sykes nk.

Kuwa kadi 1000 za mwanzo alinunua Ally Sykes kwa fedha zake na ndiye aliyesanifu na kuzichapa Printpak wachapaji wa gazeti la Tanganyika Standard nk.

Hakuna wa kukushurutisha uamini haya.

Wala hakuna wa kukulazimisha kuwa baba yake Abdul Sykes ndiye muasisi wa African Association.

Unaweza hata kuamini kuwa watu hawa hawakupatapo kuishi Mtaa wa Kipata (sasa Mtaa wa Sykes).

Baba zangu wawili wamekulia mtaa huu nyumba ya babu yangu ikielekezana na nyumba ya Kleist Sykes.

Hawa kwangu ni wazee wangu wameniona nazaliwa nimekuwa wananiona na nimewazika makaburi ya Kisutu mimi mtu mzima.
Kati hao ukiowataja Mimi nimewasoma wote isipokuwa huyo Phombea na Okoch !
Ulitaka wafanyiwe Nini zaidi ya kuandikwa kuwa ni Waasisi was TANU ,Kuwa wakwanza kipewa Kadi no kwa sababu kadi za Kwanza zilitolewa hapo zingetolewa Karagwe kwa kina Kahama ,Kahama Nate aangekuwa mbele!

Mbona kina Sykes n familia kubwa na kila mtu anawajua ...niliwahi kuwa karibu kikazi na mojawao aliyekuwa Meya ...hata huo Udini Hana,la kufuata Dini yake ...siwezi lizungumzia kwa.sababu nilimfahamu kwa muda mfupi ,na kwa macho ya nyama,ukizingatia kuwa hata Dini yake siifahamu vizuri!
Mkuu kuwa umepewa nafasi ya kuandika majarida au utafiti mbali2 haiondoi hisia zetu kuwa una Udini!
Unapofikia hadi.kusema Nyerere alipokujaa Dar ,hakuwa na ndugu kwa hiuo alipokelewa na Baba zako,inaonesha kilicho ujaa moyo wako no chuki,roho mbaya ,husuda na uswaahili!
Duniani kote watu wanapokelewa na wenyeji
Wewe Kama msomi(!?) Kuyapa kipaumbele mambo madogo Kama hayo...ni kujifedhehesha!
Tuwe wakweli!
Kuna kitu ,huwa hakipo sawa kwa upande was Jamii zinazofuata saaana ...Uarabu!
Angalia miji Kama Bagamoyo,Tabora ,Kilwa nk jinsi ilivyochelewa kuendelea!
Na huko kuna malalimiko lukuki,kuwa wanaonewa !
Na hii sio Tanzania pekee,hata Pwani ya Kenya Waislam wanalalamika!
Je inakuwaje Kanisa Katoliki linamiliki eneo strategic mjini Bagamoyo ,ilhal Msikiti Mkongwe upo hapo,na sehemu ya eneo la Msikiti huo unamilikiwa na mtu mmoja!
Hayo maeneo Wazawa walinyanganywa na nani!
TANU,NYERERE AU SERIKALI!?
Juzi nilikutolea mfano was Wilaya ya Kisarawe...UNICEF waliwekeza ktk Elimu kupitiaa Mpango wa Vijana na Watoto Wanaoishi ktk Mazingira Magumu(2000s)
Ndani ya muda mfupi kiwango Cha Ufaulu uliongezeka ,na Kisarawe ikaingia ktk Wilaya Bora Kielimu(nenda kafanye utafiti) je waalipendelewa ?!
Nina uhakika hata project ya DC Joketi,ondoa Zero Kisarawe italeta matunda hivi punde!
Ndugu zetu acheni kudanganywa na watu wachache ambao wanasema wazi wanawatete Baba zao" Hakuna njia ya mkato no mapambano!
Kuna mikoa ilikuwa nyuma kielemu miaka ya 1980 Leo ipo juu ikisshindana na Kilimanjaro!
Hawakulia walisimama na kupambana!
Utasemaje Wachaga walikuwa wanapendelewa ilhaali Wana Shule za Kata tangu miaka ya 60na 70 ambazo huku Pwani bado ni haba?
Hivi hizo familia za babako zako wangekuwa waungwana wangewadhulumu Baba zetu waliopigana Vita Upande wa Waingereza au unataka tulianzishe!🤫
 
Jones...
Sikulaumu kwa kusema hayo.
Kuna tatizo kuhusu Baraza la Mitihani na Shule za Kiislam.

Unajua yaliyofanyika?
Inashangaza.

Waislam waliamua kufanya maandamano dhidi ya Dr. Ndalichako.

Serikali iliiga marufuku maadamano yale lakini Waislam aliamua kuandamana bila kujali vitisho vilivyokuwapo nje ya Msikiti wa Kichangani.

Ndipo husema haya matatizo huwezi kuyajua kama hayakugusi yanawagusa wengine.

DSC04006%252520%2525282%252529.JPG
Yaani watoto wenu wafeli halafu baraza livunjwe??
Muda huo mnaandamana mngewahimiza kusoma.
Mbona kuna wanaofaulu?

Mbona wakristo wakifeli hawaandamani!
Acheni kulia.
Huo muda mnalialia nendeni mkajifunze kwenye shule za seminari na za kikristo jinsi walivyo serious na elimu,,,yaani wale wanafanya elimu na dini kwa asilimia 100,,wamebalance kote kuna uwiano.
Kwenu mnasomesha watoto madrasa tu ,mambo ya darasani mnapwaya halafu mnataka ufaulu,,huyo mtume anawafundisha kufaulu bila kusoma?

Badala ya kuswalisha na kukaririshana kuweka Qur'an kichwani,mtenge muda wa kuwahusia watoto wasome na elimu dunia.

We mzeee ni mdini sana hadi unakera waziwazi.

Necta Haina dini mkuu,mtihani unakuja bila kuangalia kijana ni swala tano au mtawa.

We mzeee ukristo utakupa BP bure,,achana nao..
Kama huwezi basi jiunge nao uwe huru, karibu kwa Yesu aliye hai ..achana na stori za kusadikika na kumsubiri mtume ambaye naye alishakufa na anamsubiri Yesu.

Ajiulize mbona Waislam, wanapeleka watoto While za Kikiristo,na vivo hivo Wakristo wanapeleka watoto kwenye Shule za Kiaaslam(naifahamu Feza)
Watu Waastarabu walishavuka mstari huo Siku nyingi!
 
Mzee no lazima uache huu Udini kwenye Jukwaa hili!
Isitoshe tutahoji Jamii Forum wamekupaje tuzo ,huku ukionesha wazi una dallili za Udini na Ubaguzi!
Ama sivyo Uongozi was Jamii Forum utuambie kuwa unachoandikaga hakina Element za Udini!
Hata kichwa Cha Uzi huu kinamzunhumzia Gaaudensia Kabaka ,Uenyekiti was UWT na zuio la Ujenzi was Msikiti UDOM ,Utafikiri UDOM inamilikiwa na Mama Kabaka!
 
Kati hao ukiowataja Mimi nimewasoma wote isipokuwa huyo Phombea na Okoch !
Ulitaka wafanyiwe Nini zaidi ya kuandikwa kuwa ni Waasisi was TANU ,Kuwa wakwanza kipewa Kadi no kwa sababu kadi za Kwanza zilitolewa hapo zingetolewa Karagwe kwa kina Kahama ,Kahama Nate aangekuwa mbele!

Mbona kina Sykes n familia kubwa na kila mtu anawajua ...niliwahi kuwa karibu kikazi na mojawao aliyekuwa Meya ...hata huo Udini Hana,la kufuata Dini yake ...siwezi lizungumzia kwa.sababu nilimfahamu kwa muda mfupi ,na kwa macho ya nyama,ukizingatia kuwa hata Dini yake siifahamu vizuri!
Mkuu kuwa umepewa nafasi ya kuandika majarida au utafiti mbali2 haiondoi hisia zetu kuwa una Udini!
Unapofikia hadi.kusema Nyerere alipokujaa Dar ,hakuwa na ndugu kwa hiuo alipokelewa na Baba zako,inaonesha kilicho ujaa moyo wako no chuki,roho mbaya ,husuda na uswaahili!
Duniani kote watu wanapokelewa na wenyeji
Wewe Kama msomi(!?) Kuyapa kipaumbele mambo madogo Kama hayo...ni kujifedhehesha!
Tuwe wakweli!
Kuna kitu ,huwa hakipo sawa kwa upande was Jamii zinazofuata saaana ...Uarabu!
Angalia miji Kama Bagamoyo,Tabora ,Kilwa nk jinsi ilivyochelewa kuendelea!
Na huko kuna malalimiko lukuki,kuwa wanaonewa !
Na hii sio Tanzania pekee,hata Pwani ya Kenya Waislam wanalalamika!
Je inakuwaje Kanisa Katoliki linamiliki eneo strategic mjini Bagamoyo ,ilhal Msikiti Mkongwe upo hapo,na sehemu ya eneo la Msikiti huo unamilikiwa na mtu mmoja!
Hayo maeneo Wazawa walinyanganywa na nani!
TANU,NYERERE AU SERIKALI!?
Juzi nilikutolea mfano was Wilaya ya Kisarawe...UNICEF waliwekeza ktk Elimu kupitiaa Mpango wa Vijana na Watoto Wanaoishi ktk Mazingira Magumu(2000s)
Ndani ya muda mfupi kiwango Cha Ufaulu uliongezeka ,na Kisarawe ikaingia ktk Wilaya Bora Kielimu(nenda kafanye utafiti) je waalipendelewa ?!
Nina uhakika hata project ya DC Joketi,ondoa Zero Kisarawe italeta matunda hivi punde!
Ndugu zetu acheni kudanganywa na watu wachache ambao wanasema wazi wanawatete Baba zao" Hakuna njia ya mkato no mapambano!
Kuna mikoa ilikuwa nyuma kielemu miaka ya 1980 Leo ipo juu ikisshindana na Kilimanjaro!
Hawakulia walisimama na kupambana!
Utasemaje Wachaga walikuwa wanapendelewa ilhaali Wana Shule za Kata tangu miaka ya 60na 70 ambazo huku Pwani bado ni haba?
Hivi hizo familia za babako zako wangekuwa waungwana wangewadhulumu Baba zetu waliopigana Vita Upande wa Waingereza au unataka tulianzishe!🤫
Ndugu zanguni,
Nasoma hoja zenu ninachogundua ni kuwa hamtaki kukubali kuwa historia ya TANU kwa kutumia lugha ya sasa, ''ilichakachuliwa.''

Hili mimi niliamua kulishughulikia na nikaandika kitabu cha Abdul Sykes.

Mnataabika sana kukubali kuwa ilikuwapo mipango ya kuondoa majina ya wale waliounda TANU.

Lakini kwenye ukweli uongo hujitenga.
Kitabu cha Abdul Sykes kimebadili historia ya Tanganyika.

Toka kitoke mwaka wa 1989 hadi leo kimechapwa matoleo mañne.

Ukitaka kujua hali ilivyo hivi sasa ni kuwa katika kuadhimisha Nyerere Day juma lililopita nimehojiwa mara saba na TV station karibu saba pamoja na TBC, AZAM na mahojiano yetu nimeyaweka hapa.

Penye ukweli uongo hujìtenga.
Wahariri wanataka kusikia historia ya Mwalimu Nyerere kutoka kwangu.
 
Ndugu zanguni,
Nasoma hoja zenu ninachogundua ni kuwa hamtaki kukubali kuwa historia ya TANU kwa kutumia lugha ya sasa ilichakachuliwa.

Hili mimi niliamua kulishughulikia na nikaandika kitabu cha Abdul Sykes.

Mnataabika sana kukubali kuwa ilikuwapo mipango ya kuondoa majina ya wale waliounda TANU.

Lakini kwenye ukweli uongo hujitenga.

Kitabu cha Abdul Sykes kimebadili historia ya Tanganyika.

Toka kitoke mwaka wa 1989 hadi leo kimechapwa matoleo mañne.

Ukitaka kujua hali ilivyo hivi sasa ni kuwa katika kuadhimisha Nyerere Day jums lililopita nimehojiwa na mara saba na TV station karibu saba pamoja na TBC, AZAM na mahojiano yetu nimeyaweka hapa.

Penye ukweli uongo hujìtenga.

Wahariri wanataka kusikia historia ya Mwalimu Nyerere kutoka kwangu.
Sasa Hilo kama ndivyo lilivyo Lina unasaba na Ubaguzi kwa Waislam...kivipi,kwa kuwa umechangamya mambo.menhi humu
Mara 20:80,Mara Nyerere alisaidiwa ,nk
Hoja yako nini!
?
 
Sir...
Hakikusahaulika kitu.
Mwaka wa 1962 baada ya uhuru tu palifanyika First Muslim Congress chini ya EAMWS agenda ikiwa ELIMU.

Ikaamuliwa zijengwa shue za msingi, sekondari majimbo yote kwa ili sasa Waislam wajinyanyue katika elimu ambayo ilikuwa ikitolewa kwa ubaguzi baina ya wakoloni na wamishionari.

Mwaka wa 1963 pakafanyika Second Muslim Congress na ikaamuliwa kuwa ijengwe Chuo Kikuu.

Jiwe la msingi la Chuo Kikuu likawekwa na Mwalimu Nyerere mwaka wa 1968.

Hapa ndipo matatizo yakaanza.

Waislam wakajikuta wapo katika mgogoro.

Hiki kisa ni kirefu sana na nimekieleza katika kitabu cha Abdul Sykes.

EAMWS ikavunjwa na serikali na kuunda BAKWATA na Chuo Kikuu na miradi yote ya elimu ikafa.

Pakawa pia na njama ndani ya Wizara ya Elimu ya kuhujumu nafasi za elimu ya juu kwa Waislam.

Hili ni jambo nyeti sana kwa serikali na haipo tayari kulizungumza.

Matokeo yake ndiyo haya.

Nadhani umepata kusikia matatizo ya NECTA jinsi wanavyohujumu shule zetu Waislam tunazojenga kwa jasho, vumbi na damu zetu.

Waislam waliandamana mwaka wa 2012 kueleza vipi Ndalichako ndani ya NECTA inavyohujumu mitihani ya shule za Kiislam.

Serikali ilionya Waislam kutoshiriki katika maandamano haya lakini Waislam walikaidi na Sheikh Ponda aliongoza maadamano haya kutokea Msikiti wa Kichangani hadi Kidongo Chekundu.

Ni kisa kirefu siwezi nikaeleza kila kiu hapa.

Askari hawakuwashambulia wanaandamanaji.

Akili zilirejea na serikali ilijua kuwa Waislam wanaandamana kwa jambo la haki na laiti wakiwashambulia na labda kuwaua au kuwaumiza kwa kukataa dhulma balaa laki litakuwa kubwa.

Picha hiyo hapo chini ni kabla ya maandamano baada ya kuwahutubia Waislam Sheikh Ponda aliweka ushahidi wa hujuma mbele ya Waislam na akasema lazima tuandamane.

Hotuba ilikuwa ya kusisimua sana.

Alipomaliza ndipo akageuka akaangaia kibla akamkabili Allah kuomba dua.

Umma wote msikitini walitoka kuandamana.

View attachment 1985623
Kwanini hivyo vyuo,shule msijenge toka nyererealivyofariki mpaka leo?
 
Lombo,
Unajua mjadala huu uko hapa kwa miaka mingi sana na chanzo chake ni kutokuandikwa kwa historia ya uhuru wa Tanganyika kwa ukweli.

Unachokifanya wewe ni kuturudisha kule tulikotoka.

Kitabu cha Abdul Sykes si mzaha.

Nyaraka nilizotumia kuandika kitabu hiki ni nyaraka za akina Sykes na zinaeleza historia ya African Association kuanzia 1929 Kleist Sykes akiwa Katibu muasisi.

Baada ya kuandika kitabu hicho niliingizwa katika miradi miwili ya kuandika historia ya Afrika - wa kwanza kutoka Oxford University Press Nairobi (2007) na wa pili mradi wa Dictionary of African Biography mradi wa Harvard na Oxford University Press New York (2011).

Kutoka hapo nimeandika vitabu 10 na nimepewa tuzo 3.

Usidhani niandikayo ni mambo ya mashkara.
Unakubali vipi kupewa tunzo na makafir?
 
Badala ya kujibu hoja zake na wewe umekomaa na mitusi, nani kakudanganya kwamba matusi ni hoja?
 
Hivi huyu mzee alipataje tuzo ile?

Mbona amejaa udini sana!!!, kusema kweli huyu hakustahili kupewa tuzo hiyo.

Ajaribu kuangalia comments za watu jinsi ambavyo hawafurahishwi na mwenendo wake wa udini ijapokuwa wanatambua mchango wake.

BADILIKA MZEE
 
H
GAUDENSIA KABAKA MWENYEKITI WA UWT?

Mwenyekiti wa UWT Gaudensia Kabaka ndiye aliyehusika kuwafukuza Waislam 11 Chuo Kikuu Cha Dodoma na kusimamisha ujenzi wa msikiti hapo chuoni ambao ujenzi wake ulishaidhinishwa.

Leo yupo katika sherehe za kumuenzi Bi. Titi Mohamed.

Huyu ndiye kiongozi aliyewafukuza wajukuu wa Bi. Titi hapo chuoni na kuzuia ujenzi wa msikiti.

Kwa yale aliyopigania Bi. Titi Mohamed na wanawake wote katika TANU ya enzi zile huu ni msiba mkubwa.

Huyu Mama hastahili kuongoza wala kunasibishwa na umoja huu ulioasisiwa na mama zetu akina Bi. Titi, Bi. Hawa bint Maftah, Bi. Zarula bint Abdulrahman kwa kuwataja wachache.

Angalieni picha hiyo ya kwanza hapo chini pcha iliyopigwa na Mohamed Shebe ya mkutano wa TANU 1955 wakati wazee wetu wanautafuta uhuru wa Tanganyika.

Angalia huo umma Viwanja Vya Mnazi Mmoja na tazama hiyo sehemu nyeusi.

Hayo ni mabaibui ya bibi. mama, na shangazi zetu wamekuja kuujaza uwanja na kumtia nguvu Mwalimu Nyerere.

Mama zetu wameitika mwito wa "kuno kuno."

Hapo ndipo walipokuwa wakiimba nyimbo za lelemama kuhamsisha wakiimba."

Muheshimiwa nakupenda sana....Insha Allah Mungu yupo Tanganyika tutajitawala.''

Tujitawale halafu iwe nini?

Gaudensia anyanyase Waislam, Gaudensia avunje misikiti yetu?

Gaudensia awafukuze chuoni wajukuu wa hawa wanawake unaowaona hapo chini kwenye picha?

Picha ya pili hao wote mbele hapo wanaongoza maandamano ya akina mama mimi mama zangu.

Hao ndiyo msingi wa UWT.

Yupo Bi. Mwamvua bint Mrisho (Mama Daisy), Bi. Titi Mohamed na Bi. Zainab Tewa.

Hii hoja inahitaji maelezo zaidi na ufafanuzi wa kina kwani ni SHUTUMA NZITO siyo dhidi ya Mwenyekiti wa UWT pekee bali ni kwa Chama na uongozi wote wa Chama chetu pendwa Chama Tawala, CCM.

Mleta "shutuma au shtaka" hili awajibike kutoa maelezo fafanuzi kama vile jambo hilo lilitokea lini, kwa sababu gani na "mshutumiwa" alifanya uamuzi huo mzito kwa mamlaka na wadhifa upi!? Vinginevyo, yaani ukosefu wa maelezo hayo ya kina, basi utakuwa ni "uzushi, uongo na ufitini usio na faida kwenye jamii.
 
Jones...
Sikulaumu kwa kusema hayo.
Kuna tatizo kuhusu Baraza la Mitihani na Shule za Kiislam.

Unajua yaliyofanyika?
Inashangaza.

Waislam waliamua kufanya maandamano dhidi ya Dr. Ndalichako.

Serikali iliiga marufuku maadamano yale lakini Waislam aliamua kuandamana bila kujali vitisho vilivyokuwapo nje ya Msikiti wa Kichangani.

Ndipo husema haya matatizo huwezi kuyajua kama hayakugusi yanawagusa wengine.

DSC04006%252520%2525282%252529.JPG
Waislam ni watu wa kulalamika duniani kote kuwa wanaonewa.
 
Ndugu zanguni,
Nasoma hoja zenu ninachogundua ni kuwa hamtaki kukubali kuwa historia ya TANU kwa kutumia lugha ya sasa ilichakachuliwa.

Hili mimi niliamua kulishughulikia na nikaandika kitabu cha Abdul Sykes.

Mnataabika sana kukubali kuwa ilikuwapo mipango ya kuondoa majina ya wale waliounda TANU.

Lakini kwenye ukweli uongo hujitenga.

Kitabu cha Abdul Sykes kimebadili historia ya Tanganyika.

Toka kitoke mwaka wa 1989 hadi leo kimechapwa matoleo mañne.

Ukitaka kujua hali ilivyo hivi sasa ni kuwa katika kuadhimisha Nyerere Day jums lililopita nimehojiwa na mara saba na TV station karibu saba pamoja na TBC, AZAM na mahojiano yetu nimeyaweka hapa.

Penye ukweli uongo hujìtenga.

Wahariri wanataka kusikia historia ya Mwalimu Nyerere kutoka kwangu.
Kwanza hiyo historia ya TANU itaisaidia nn tanzania karne hii mzee wangu....

Wewe kinachokuuma ni nyerere tu

Na mfano watu kama nyie mngeshika mikoba
Nchi hii sijui kama wakristu wangekuwepo

Ova
 
Fuma...
Mimi nisiyejua chochote nazungumza na mjuzi lakini huyu mjuzi anashindwa kutambua ukweli kuwa yapo malalamiko ya kweli.
Fanya utafiti kidogo kisha In Shaa Allah rejea tufanye mjadala:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
Saidi
Shikamoo!

Huo msikiti ulikua unajengwa na Udom ama nani? Nieleweshe mzee.

Ninavofahamu kiiwanja cha Udom ni cha Serikali na Serikali ndiye aliyejenga Udom kwenye kiwanja chake na viunga vyote vile vimejengwa na Serikali, waislam walitaka Serikali iwajengee msikiti ama? Nieleweshe mzee wangu.
Halafu time factor ni muhimu sana, jambo hili lilitokea lini na "mtuhumiwa" alifanya hayo akiwa kama nani, Mwenyekiti UWT au nani? Hapa time factor ni muhimu sana ili tuendane sawasawa na matukio yote na shutuma pia. Mwandishi au mleta uzi aeleze tu bila jazba kuhusu maswali yetu; kwa nia njema tu ya kuelimishana.
 
Yaani watoto wenu wafeli halafu baraza livunjwe??
Muda huo mnaandamana mngewahimiza kusoma.
Mbona kuna wanaofaulu?

Mbona wakristo wakifeli hawaandamani!
Acheni kulia.
Huo muda mnalialia nendeni mkajifunze kwenye shule za seminari na za kikristo jinsi walivyo serious na elimu,,,yaani wale wanafanya elimu na dini kwa asilimia 100,,wamebalance kote kuna uwiano.
Kwenu mnasomesha watoto madrasa tu ,mambo ya darasani mnapwaya halafu mnataka ufaulu,,huyo mtume anawafundisha kufaulu bila kusoma?

Badala ya kuswalisha na kukaririshana kuweka Qur'an kichwani,mtenge muda wa kuwahusia watoto wasome na elimu dunia.

We mzeee ni mdini sana hadi unakera waziwazi.

Necta Haina dini mkuu,mtihani unakuja bila kuangalia kijana ni swala tano au mtawa.

We mzeee ukristo utakupa BP bure,,achana nao..

Kama huwezi basi jiunge nao uwe huru, karibu kwa Yesu aliye hai ..achana na stori za kusadikika na kumsubiri mtume ambaye naye alishakufa na anamsubiri Yesu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Saint...
Majibu kama haya ni majibu na kwangu mimi na wengine ni changamoto.

Wataalamu katika baadhi ya vyuo nikiwwaonyesha majibu haya hunipa kazi ya zaida wanaomba nikusanye yote mfano wa haya mwisho wa mjadala kwa ajili ya uchambuzi.

Nakuweka moja ya data ambayo niliwapelekea uisome kisha In Shaa Allah nitakuletea majibu yao:

''Lakini tuende kielimu.

Ninayo ripoti ya mwaka huu.

Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.

Asilimia 29 ni wengine.

Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe.

Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu.

Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga. Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha.''

(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999)

Tizameni haya na tujadili.
 
Back
Top Bottom