TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

Kukabidhi nchi kwa washamba ni shida sana.

Apumzike kwa amani Prof. Nduli.
 
Nini tena...changamoto ile ile ...

RIP Prof!!
 
" Rest in peace " hili neno mnapenda sana kulitumia especially wakristo anapokufa mtu hupenda kulitamka, lakini je, neno hili linamsaidia marehemu huko anakopelekwa/kaburini???? Au mnalitamka tu kwa kufuata mabeberu!!!
Kwani wewe unafanya nini kumzaidia marehemu kaburini ?! Au ndiyo yale yale ya wakoloni wa kiarabu ?!
 
Mkuu punguza chuki na HOFU
 
Mkuu usifanye mahamuzi pindi ukiwa na uzuni. kifo kipo na kitaendelea kuwepo kikubwa omba Mungu akujahalie mwisho mwema
 
Wewe ni moja ya watu wapumbavu sana hapa jf!

Huyo jiwe yupo ulaya, marekani, uchina, russia, india, blazil na kwingineko ambako malaki ya watu wamekufa?

Huyu jiwe naona hata mkigongewa wake zenu mtamsingizia kumbe ni uzembe wenu wa kutowaridhisha.
 
RIP Prof Ndulu taifa limepoteza mtu muhimu sana,Mungu awatie nguvu familia na watanzania wote kufuatia msiba huu mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…