TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

Kuishi na kufa yote ni mipango yake Mungu,kiburi Cha uzima kisikufanye ukasahau kua kuna Mwenye Dunia yake na wala siyo hao Wazungu Kama unavyozania!!
 
Apumzike kwa amani
 
walikua wanakufa kwa kasi hii? mbona mna[enda kujitoa fahamu? ndani ya wiki moja tumewapoteza maalim seif, kijazi, Likwilile, Ndulu na wengineo
Zingatia na umri wao pia, age imekwenda pia!!
 
Acha kudanganya watu,kumbuka kuna selikali ambayo huendeshwa kwa maslai ya watu Fulani.halafu kuna dini,ukiona hawa watu wameanza kupingana katika kusema ukweli ujue kuna jambo
Jambo gani hilo!?
 
Watu wa Mbweni tanzia zimekuwa nyingi ndani ya mwezi huu, sijui shida nini aise, mrudieni Mungu. RIP gavana
 
Mwaka shetani huu
Samahani ndugu Myetu mwaka hauna kosa kwani ni kama nyakati zingine zozote, bali sisi wanadamu ndiyo wenye matatizo. Mwaka haujaleta virusi wala magonjwa ya aina yoyote, kilichobaki tuchukue tahadhari kwani Corona ipo na inaondoa uhai na magonjwa mengine pia yapo na yanaondoa uhai. Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa kuwa siyo nia yangu.
 
Kila mtu atakufa kwa siku aliyopangiwa, ila kujirusha mbele ya simba halafu utarajie kutoka mzima kisa mungu hiyo sio busara (some have tried believing they are the second Daniel’s, it dint end well).

Precaution measures against COVID are necessary it’s just common sense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…