Kwa Afrika miaka 71 ni mingi sana iko kwenye range ya vitabu vya dini kabisa... tatizo tumezoea vifo vya mapema hadi tunaona kawaida. Life expectancy (2018) za wengine hizo hapo Mkuu; tunastahili kuishi sio kufa - Sweden - 82.56; Norway - 82.76; Finland - 81.73; Denmark - 80.95; Japan - 84.21; UK - 81.26; US - 78.54; France - 82.72.
Ni wajibu wa serikali inayoongozwa na CCM kutuvusha tufikie level hizo za kuishi/umri. Kuboresha maisha ya wananchi ni jukumu la serikali yoyote inayojali.
Wewe hata bi mkubwa wako akimegwa out unasingizia wapinzani wakoNaona unamtetea mdogo wako, we naye condom ingetumika tusingekua na shida tuipatayo sasa
Post yangu ya wali ilificha neno moja lililoharibu maana ya post yote; hebu isome tena ndipo tunazie hapo.Kwani Kichuguu, mna arllegy na Corona ?!. Siwaelewi !!
Hii kitu inaua kinyama tena walipa kodi wazuri . Nawashangaa
Inaweza ikawa ni fikra zako, kwa sababu dhamira yako imekufa.Kuna watu wanafuraaaaahi kusikia hivi vifo. R.I.P
...kwa hiyo vitabu vya dini vimetuandikia waafrika kwamba tutakufa mapema (70 yrs max)? Hao waliofika 80+ wako kinyume na dini?Kwa afrika miaka 71 ni mingi sana iko kwenye range ya vitabu vya dini kabisa
Hata hao wa 80 ni wastani lakini kuna watu wanakufa chini ya hapo na hata hapa kwetu kuna watu kibao tu wana zaidi ya hiyo miaka... kwa hiyo vitabu vya dini vimetuandikia waafrika kwamba tutakufa mapema (70 yrs max)? Hao waliofika 80+ wako kinyume na dini?
Kwani alikuwa anaishi Japan au Sweden!?... tatizo tumezoea vifo vya mapema hadi tunaona kawaida. Life expectancy (2018) za wengine hizo hapo Mkuu; tunastahili kuishi sio kufa - Sweden - 82.56; Norway - 82.76; Finland - 81.73; Denmark - 80.95; Japan - 84.21; UK - 81.26; US - 78.54; France - 82.72.
Nakuona uko Maldives, unaongelea tu Corona tujifunze kuishi nayo kama tunavyoishi na maralia au nasema uongo ndugu zanguuuuu
Ugonjwa wa mtu ni siri ya mgonjwa je wewe uko tayari kujitangaza una ukimwiSasa huoni kuwa ni vibaya karne hii kuishi bila kujua chanzo cha kifo...?
Huoni kuwa taarifa za kisayansi zikitoka juu ya chanzo halisi cha kifo jamii inaweza kuwa salama zaidi!!
Ujinga wa kuficha maradhi utatumaliza...
Mkuu mlikuwa mnataka tamko haya kalitoa jana kanisani je Corona imepungua baada ya kutoa tamko ha ha ha ha ha hata huko ulaya wameamua kuipotezea corona maisha yanaendelea we endelea kusuburi matamko leo nimetoka airport wazungu kibao wameshuka kuja kula bata na barakoa zao so maisha lazima yaendelee mkuuDaah Majabali yanazidi kudondoka aisee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Wazee kama hawa ndo wanaumia sababu ya Upuuzi wa mjuaji mmoja.. Sayansi haidanganyi yanii ni muda sasa wa Viongozi kubadilika yani lasivyo wazee wetu wataisha. Thamani na muda unaotumika kutengeneza Proffesa mmoja ni kubwa sana alafu leo kitoto wanakufa kama kuku.
Kabisa, ongezea na yule Dr Likwelile...Duh, tumepoteza hazina kubwa sana.
Weka evedence ya overweightApumzike kwa amani; alifanya mema wakati wake.
Ila sasa vifo vyote vwa watu maarufu visiwe kete za kisiasa kutumia korona. Watu wengi kwenye madaraka hutokea kuwa overweight na huweza wana matatizo mengine ya kiafya yanayoweza kuathiri uhai wao.