TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

Huyu bwana kajigeuza kuwa mjumbe wa Mungu wa wafu, anawaongoza kondoo kwenda machinjoni
 
Weka evedence ya overweight
Pumba tupu; hakuna niliposema kuwa alikuwa overweight ila nimesema ndiyo trend ya viongozi wetu hata bila kukuleta picha yake. Ndiyo maana ni vigumu kutoa hitimisho la sababu ya kifo bila taarifa za daktari wake.
 
Sio kila anaekufa, hasa akiwa public figure, amekufa kwa COVID. Huu ugojwa hauzuii magonjwa mengine yaliyokua yanaua sana kuendelea kuua. Lets not forget that.
Why now the cases are many?
Don't run out of the truth.
 
Haina shida miye mwenyewe nimepoteza Baba tangu wiki mbili zilizopita.Nikusikia habari ya kifo moyo ynakupuka ndugu yangu Vumilika pia ni msemo wa wahenga.
Pole sana ndugu yangu, Mungu akupe subra, tujitahidi kadri tuwezavyo ili tupate mwisho mwema sisi na kila binadamu kwani kifo hakikimbiliki.
 
Sasa huoni kuwa ni vibaya karne hii kuishi bila kujua chanzo cha kifo...?
Huoni kuwa taarifa za kisayansi zikitoka juu ya chanzo halisi cha kifo jamii inaweza kuwa salama zaidi!!
Ujinga wa kuficha maradhi utatumaliza...
Kujua chanzo cha kifo kunasaidia Sana kujua jinsi ya kuthibiti na kukabili vifo kutokana na chanzo husika. Post mortem (uchunguzi wa maiti) umeisaidia Sana Medical science kukabiliana na magonjwa mbalimbali na kuyadhibiti.
Ndiyo maana tunasema maiti wanatupenda tulio hai lakini Sisi tulio hai tunaikimbia maiti.
 
Kila nikifungua jf nakutana na tanzia .

Vifo safaei hii Ni hatari Sana .
 
Apumzike kwa amani; alifanya mema wakati wake.

Ila sasa vifo vyote vwa watu maarufu visiwe kete za kisiasa kutumia korona. Watu wengi kwenye madaraka hutokea kuwa overweight na huweza wana matatizo mengine ya kiafya yanayoweza kuathiri uhai wao.
Kwani Corona ni nini hadi muogope kuitaja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…