Mbona Rais wa Benki ya Dunia 2012-2019 Jim Yong Kim alikuwa Physician yaani Daktari wa binadamu na aliongoza fresh tu.Tutuba ataweza tu,BOT ni taasisi yenye mifumo,kikubwa azingatie teamwork!
Mbona Rais wa Benki ya Dunia 2012-2019 Jim Yong Kim
Uliwahi kuona RAS yoyote ambaye sio TISS?Tutuba siyo TISS, Ila Naibu Gavana wake mmoja ni yeye!
Angekuwa angalau na kaMasters basi. Sasa diploma tu kweli jamani 🤔🤷Fuatilia CV yake acha wivu.
Kafanya kazi hapo hazina kwa muda wa kutosha hadi kufanikiwa kuwa Kamishna Msaidizi wa Bajeti kabla ya kuwa RAS kisha PST na hatimaye Governor.
Profesa ni Mwalimu tu wa kiwango cha juu kwenye chuo kikuu. Kazi ya Profesa ni kufundisha na kufanya tafiti.
PhD au shahada ya Uzamivu hupewa mtu aliyetafiti eneo moja kwa undani zaidi.
JD ya Governor wa BOT inahitaji mtu mwenye BA ya uchumi na uzoefu kwenye uchambuzi wa masuala ya uchumi usiopungua miaka 10, huku Masters au PhD zikiwa added advantage
Benki Kuu siyo chuo ambapo taaluma ya kufundisha inahitajika. Tutuba atakuwa ni Governor wa 3 asiye Professor Wala PhD kushika nafasi hiyo ikiwa ni pamoja na Charles Nyirabu (BA) na Rutihinda ( MA).
Tutuba ana sifa zote zinazotakiwa kwa kazi hiyo
Acha ujinga wako! Hatuwezi kusubiri embe chini ya mnazi!Madocta na hao Maprofesa wengine vilaza tu, unaweza kuta huyu kafanya vizuri kuliko hao........tumwache afanye kazi
Ninakusikiliza wewe.Uzoefu upi?
Mkuu 'Fumadilu Kalimanzila', usiwe msahaulifu haraka haraka.Acha ujinga wako! Hatuwezi kusubiri embe chini ya mnazi!
Nimekutajia Nyirabu na RutihindaNani kakudanganya? Weka mfano mmoja wa Gavana wa Central Bank Duniani mwenye Diploma au Bachelors, Bernanke juzinkati kashinda Nobel
Prize ya Uchumi ni Profesa wa Uni, …
Mtu ambaye ana muda wa kusoma anaweza soma article hiiGavana mpya Tutuba!
View attachment 2476668
Tutuba holds an advanced Diploma economic planning and MBA in corporate management from Mzumbe Uni vs Luoga a tax law Professor who (Luoga) is accredited for helping Tanzania attain macroeconomic stability, …by Bloomberg.
---
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan appointed Emmanuel Tutuba the nation’s central bank governor, as she moves to tackle the rising cost of living.
Tutuba, who has been working as permanent secretary in the Finance Ministry, replaces Florens Luoga after his term expired, according to a statement from the president’s office. The appointment takes immediate effect.
Na pia Tutuba kitendo cha kuwa Katibu Mku hazina automatically amekuwa akiingia kwenye BODI ya BOT hivo anafahamu kila kitu kinavyoenda ndani ya BOT
Wapo kibao!Uliwahi kuona RAS yoyote ambaye sio TISS?
Nchi hii inawajinga wengi sana! Utatumia muda na akili yako nyingi na hawatakuelewa kabisa!Gavana anapaswa kuwa mtu nguli katika uchumi, sio mtu anayefahamu tu kila kitu kinavyoenda ndani ya BoT, kuna wafanyakazi wengi ndani ya BoT na raia wa nje ambao ni layman wa uchumo wanaofahamu "kila kitu" kinavyoenda ndani ya BoT.
Kim holds a B.A. from Brown University, and an M.D. and PhD in medical anthropology from Harvard University.
- President, World Bank Group (2012-2019)
- President, Dartmouth College (2009-2012)
- Co-Founder, Partners in Health
- Vice Chairman and Partner, Global Infrastructure Partners
Before his time at the World Bank, Kim served as President of Dartmouth College-- becoming the first Asian-American president of an Ivy League institution-- and as Executive Director and co-founder of the internationally renowned non-profit medical organization Partners In Health (PIH).
At PIH, Kim helped launch a movement that changed global health forever, tackling some of the world's most difficult health problems, and proving experts wrong in what medical treatments and results are possible in communities of extreme poverty.
Kim's work at PIH has now been replicated in more than 40 countries, and is chronicled in the award-winning documentary Bending the Arc, and bestselling book Mountains Beyond Mountains. Kim also served as Chief of the Department of Social Medicine at Harvard Medical School and director of the World Health Organization's HIV/AIDS department.
Source : Schedule Jim Yong Kim to Speak | HWA Speakers
Huyu bwana namfahamu toka akiwa Afisa Budget pale hazina 2015 ni mchapa kazi sn hana shidaMwache gavana achape Kazi
Tatizo tumekariri kuwa PhD sijui ndiyo zinafanya kazi lakini mtu kama huyu ni mchapa kazi snGavana mpya Tutuba!
View attachment 2476668
Tutuba holds an advanced Diploma economic planning and MBA in corporate management from Mzumbe Uni vs Luoga a tax law Professor who (Luoga) is accredited for helping Tanzania attain macroeconomic stability, …by Bloomberg.
---
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan appointed Emmanuel Tutuba the nation’s central bank governor, as she moves to tackle the rising cost of living.
Tutuba, who has been working as permanent secretary in the Finance Ministry, replaces Florens Luoga after his term expired, according to a statement from the president’s office. The appointment takes immediate effect.
Sure jamaa ni mchapa kazi sana nafahamu vizuri, huu ni uteuzi bora kabisaFuatilia CV yake acha wivu.
Kafanya kazi hapo hazina kwa muda wa kutosha hadi kufanikiwa kuwa Kamishna Msaidizi wa Bajeti kabla ya kuwa RAS kisha PST na hatimaye Governor.
Tatizo tumekariri kuwa PhD sijui ndiyo zinafanya kazi lakini mtu kama huyu ni mchapa kazi sn