Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa sababu benki ya dunia ni chombo cha West kutoa mikopo zaidi kwa mataifa maskini na kukusanya taarifa za uchumi.
Benki ya dunia haifanyi majukumu sawa na ya benki za nchi.
Benki ya dunia haifanyi majukumu sawa na ya benki za nchi.
Mbona Rais wa Benki ya Dunia 2012-2019 Jim Yong Kim alikuwa Physician yaani Daktari wa binadamu na aliongoza fresh tu.Tutuba ataweza tu,BOT ni taasisi yenye mifumo,kikubwa azingatie teamwork!