Gavana wa BOT amemaliza muda wake au amestaafu?

Thanks for this.
P
 
-sina uhakika kama benki kuu wanahusika na fiscal policy, sheria ya benki kuu inasema benki kuu itahusika na monetary policy ambazo zinahusisha mambo kama foreign exchange rate, lease financing, regulation and supervision of banks, currency issuing, reserve ya foreign currency, reserve ya Gold nk nk
-kuhusu Gavana wa benki kuu kutokuwa mchumi, sheria ya benki kuu imeruhusu hadi Lawyers kuteuliaa kuwa Gavana, na hiyo ni kutokana na sheria hiyo kusema Gavana atasaidiwa na Deputy governors watatu
 
aise!!
mwacheni mzee wa watu akajipumzikie.

Bahati mbaya sana, watumishi wengi wa zamani walikuwa hawajui umri wao sahihi wa kuzaliwa, hueda kwa sasa anamiaka 76, walikuwa wanakisia tu! na kutokana na hali hiyo unaweza kukuta kuwa tuna kastaafu wengi ambao bado wapo kwenye utumishi, akili inataka mwili unagoma kwasababu ya umri mkubwa.

nawashauri wazee ambao umri umesonga na bado wapo wameng'ang'ania nafasi waachie wawapishe vijana.

Sheria zinaruhusu unaweza kuomba kustaafu hata kwa ugonjwa/umri mkubwa.
 
Ameumaliza mda wake Ila Rais hajamuongezea term ya pili
 
👇
 
Wanaingizwa watu wapya wenye ari watumie uwezo wao!

Hiit ina afya kwa mstakabali wa TAIFA letu!

Sio lazima watu wale wale tu !
 
Yule mzee wa makinikia na vimacho vyake arudi kwa akina Kabudi na Bashiru wakafundishe, takataka kabisa haijalishi kama muda wake umeisha au amestaafu, who cares! Kwani Ndulu alistaafu, si walimwondoa kibabe?
 
Rais wangu Samia nampenda sana ila kwa kifungu hiki, amevunja sheria kwa kutompa Prof Luoga miaka 5 mingine.

Kwa tafsiri ya kifungu hiki, ilikuwa lazima Prof Luoga kupewa miaka 5 mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…