9thwonder
Senior Member
- Apr 9, 2017
- 125
- 83
[emoji518] [emoji39]Zitto huyu huyu ambaye Asali imemjaa mdomoni hadi anatemea wengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji518] [emoji39]Zitto huyu huyu ambaye Asali imemjaa mdomoni hadi anatemea wengine?
UMRI wa UTUMISHI wa UMMA wa kustaafu ni MIAKA MINGAPI kwa kazi zote zisizofungamana na SIASA au Kuchaguliwa na Wananchi ni MIAKA mingapi? Sambamba na hilo unajua Miaka ya kustaafu ni 60?? Ziada ya hapo kwa mtumishi ni ile ofisi nyeti na umri hautakiwi kuzidi 65 unajua hili?
REJEA CDF (RTD) MABEYO.
na inawezekana anazaidi hata hiyo 65, huenda ana 76.
maana wazee wetu wa zamani hawakuwa wanafahamu miaka yao sahihi ya kuzaliwa, wanakisia tu, apumzike tu ni haki yake.
Kwa mujibu ya kifungu cha 8 cha Sheria ya Benki kuu ya 2006 , Rais kavunja Sheria kwa kutomuongezea Prof Luoga kipindi cha pili cha miaka 5.Kaka Pascal Mayalla, Prof. F.D.A.M. Luoga bado hakufika miaka 65. Amezaliwa mwaka 1959 na mwaka huu atafikisha miaka 64. Hivyobasi, kwa mujibu wa sheria, alistahili kuongezewa muda.
Ni mwenyeji wa Kigoma kibondo period.CV ya Tutuba
Mchumi? Nadhani ni Profesa wa Tax Law, ni Moja ya Watanzania wachache Sana waliosoma Tax Law na kufikia Hadi uprofesa,Yes huyu ni Mwalimu wangu wa International Business Law pale UDSM, ni mchumi mzuri, law firm yake ni FK law chambers is doing great
P
hili ni tatizo kubwa kwenye utumishi wa umma!!Wengi wanajua sana ila wanafanya makusudi wanaogopa kustaafu sababu hawajajiandaa vya kutosha!
Wengi wanajiounguzia umri kwa miaka mingi!
Soma hii.Rais amemteua Gavana mpya Kwa taarifa kwamba aliyekuwepo amemaliza muda wake.
Lakini kiutumishi au kiutendaji kumaliza muda wako kwaweza maanisha kwamba bado ana umri wakuhudumu lakini mkataba wake BOT umeisha hivyo anarejea KAZI yake ya awali.
Au alishastaafu akaongezewa muda na kipindi alichoongezewa kimeisha? Au amestaafu rasmi?
Gavana wa sasa amestaafu au mkataba umeisha? Sheria inasemaje kuhusu ajira na kustaafu au kuondolewa ofisini kwa Gavana? Siyo kama CAG?
Potelea mbali hata kama angekuwa mtu pekee duniani kusoma Tax Law na kufikia uprofesa. Wasomi wa kiafrika wengi ni wasomi kwa majina. Vichwani hamna kitu.Mchumi? Nadhani ni Profesa wa Tax Law, ni Moja ya Watanzania wachache Sana waliosoma Tax Law na kufikia Hadi uprofesa,
Yaani Hana Muda Kwa Sasa .Umeshaambiwa amemaliza muda wake
Mchumi? Nadhani ni Profesa wa Tax Law, ni Moja ya Watanzania wachache Sana waliosoma Tax Law na kufikia Hadi uprofesa,
Ahsante kaka P, lakini nafikiri mchakato wa CAG uko tofauti kidogo. Hata ikiwa anatakiwa kuondokewa Kuna mambo kadhaa ya kisheria yanayohusisha Hadi commonwealth kama sikosei. Ndio maana umakini wa Hali ya juu unatakiwa inapokuja kumteua CAG.Ni kama CAG.
P
Jamaa amekaa TISS TISS maana Usiri mwingi....
Kwa sasa CIA wako busy kufukunyua ili wamjue
Ahsante kaka P, lakini nafikiri mchakato wa CAG uko tofauti kidogo. Hata ikiwa anatakiwa kuondokewa Kuna mambo kadhaa ya kisheria yanayohusisha Hadi commonwealth kama sikosei. Ndio maana umakini wa Hali ya juu unatakiwa inapokuja kumteua CAG.
Sina uhakika kama Govana Iko namna hiyo.
Zitto yupo busy anatumikia ndoa kule Zanzibar aliyoolewa na CCMItabidi zitto atushauri
Ndicho nilichokifaham na nimeona wataalam wameelezea vizuri kabisa kuhusu Gavana. Asizidi 65, pia ni mihula ya miaka mitano mitano na isizidi miwili isipokua Kwa dharura.Gavana haiko hivyo.
Wangempa kazi TRA
Hiyo homework ya maswali ungeenda google ungepata majibu yote, usiwe unachosha watu mida ya weekendRais amemteua Gavana mpya Kwa taarifa kwamba aliyekuwepo amemaliza muda wake.
Lakini kiutumishi au kiutendaji kumaliza muda wako kwaweza maanisha kwamba bado ana umri wakuhudumu lakini mkataba wake BOT umeisha hivyo anarejea KAZI yake ya awali.
Au alishastaafu akaongezewa muda na kipindi alichoongezewa kimeisha? Au amestaafu rasmi?
Gavana wa sasa amestaafu au mkataba umeisha? Sheria inasemaje kuhusu ajira na kustaafu au kuondolewa ofisini kwa Gavana? Siyo kama CAG?