BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
-Kasome mamlaka ya Rais kwenye uteuzi wa maofisa Rais akiwa kama mkuu wa serikali, anateua Mawaziri,Naibu,Gavana ,rc,DC,das,Ras,majaji nk nk.Mamlaka yapi? Kitajs iko kipengele
Rais anafanya kazi kwa mujibu wa Katiba na Sheria na pia endapo Rais atathibitika kuvunja Katiba au Sheria anaweza kupigiwa kura ya kuondolewa madarakani na bunge soma ibara ya 46A(1) (2) (a) ya Katiba ya JMT ya mwaka 1977
- Kwa hiyo Rais akimuongezea retirement age mtu kavunja sheria kumbe? Mbona Gen. Mabeyo kustaafu na 66 Kwa hiyo Rais kavunja Katiba na sheria? (Mbona hakukuwa na kelele yoyote kusema Rais kavunja Katiba na sheria?)Ndio maana nikakwambia hizo ni discretionary powers za Rais alizonaz, Mapenzi ya Rais,