Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hujui sheria na ukieleweshwa na wanasheria unakuwa mbishiUko mwaka wa ngapi hapo CHUONI kiongozi??
Ndio maana umeambiwa hapo kuwa sheria hiyo inaambatana na sheria ya utumishi wa UMMA au huelewi nini hapo??
Sheria ya Benki Kuu imesema ni lazima gavana apewe kipindi cha pili! Unadhani waliotunga hawakujua kuna suala la umri? Na pia Sheria ya utumishi wa Umma hakuna ilipoelezea umri wa kustaafu wa Gavana