Gavana wa BoT: Deni la Taifa ni Tsh Trilioni 100, linazidi kukua japo bado linahimilika

Aibu kubwa sana kwa nchi yetu kusema deni himilivu ndo sifa hiyo ,utawala huu umefeli sana ,sana,tu raslimali zetu zote tunashindwa Nini??? Nchi ili iendelee inahitaji uongozi Bora sio machawa ,sifa za kijinga kila Kona ,hovyoo .tumechoka sifa za machawa kwa mama ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿ“ข๐Ÿ“ข๐Ÿ“ข๐Ÿ“ข๐Ÿ“ข๐Ÿ“ข
 
Harafu Mpina atakuja akijifanya ana data Mpya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwaiyo bado 11% tufike kwenye ukomo kwa maelezo yake na kama nimemuelewa vizuri.
Ukomo unawekwa na Nchi yenyewe unaweza hamishwa kutoka 55% Hadi 70% .

Mwisho Nchi zote zilizoendelea Zina madeni over 75-120 % of GDP
 
Mama alikuta deni linasoma trilioni 72, miaka minne kakopa trilioni 28. Akimaliza madaraka tunapigwa mnada maana tutakua tumeshavuka hiyo 55% wanayojigamba ndani ya miaka mitano ijayo..
Nchi gani imewahi pigwa mnada?

Kabla ya Mabeberu kusamehe madeni awamu ya MKAPA NA JK ,deni lilikuwa kubwa zaidi ya 55% na Bado Nchi haikupigwa mnada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ