Gay lions spotted in Kenya's Maasai Mara

Kama ni kweli basi wahindi wako sahihi,
ukifa unaweza kuzaliwa upya ukiwa Ngedere,na huyo ngedere akifa anazaliwa upya akiwa samaki Sato,ambae nae akifa anazaliwa mtoto wa kichina ambae nae akifa roho yake inazaliwa upya ndani ya fisi,
kabla fisi hajafa na kuzaliwa tena kama mjaluo,

it is just a game.

Hakuna mwisho wa dunia
 
Hakuna kitu kama icho.wanyama weng wanafanya iyo michezo ya kupandiana lakin hakuna anachoingiza kwa mwenzake.
 
Ujanja unaotumika ni kuwa, Simba dume mojawapo hupakwa harufu ya heating ya simba jike (human made) ambayo humchanganya dume moja au yote na kuamua kupandana au kupanda.
 
Ndo mana simba juz alishindwa kumfunga Yanga
 
Hii kitu kwa ng'ombe hutokea mara nyingi. Lakini kwa wanyama pori sina uelewa Cairo's
Kawaida kwa wanyama kufanya hivyo, hii si ajabu hata kidogo, tena huna haja ya kusomea wanyama kujuwa hili, vipindi vya Animal Planet na Discovery Channel zinaelimisha haya mambo kukicha...
 
Nipe habari za Dolphins Mwelewa
 
Mashoga na wafiraji wamefuraaaaahi, wanataka kusingizia ni ASILI. Si kweli. Hutokea wakati mwingine kutokana na mapungufu ya kimaumbile simba jike akawa na manyoya ya shingoni yale (mane) kama dume tu. Hata kwa binadamu hutokea, mfano huyu dada kwenye video hii.

 
Tena huyo wa chini katoa kiulimi kabisa anasikilizia utamu
Hivi kumbe ni kweli kwamba huwa ni tamu? Mbona mimi naona ni kitendo kisicho wezekana na cha udharirishaji sana! Kumbe wengine mnaina ni tamu?
 
Ng'ombe hufanya kwa ajili ya dominance attitude
Umewahi kuwa mfugaji?! Mimi ni mfugaji. Mbuzi na ng'ombe akikojolewa tu kwa tukio hilo hufuatiliwa na madume mengine kwa kufuata harufu. Na salama yake ni kumhamisha (kumtenga) pia kumpaka diesel au mafuta taa kuua harufu ya mkojo, ili asiendelee kuingiliwa kwa kuwa humlemaza kabisa.
 
Sure uko sahihi kbs
 
Impossible tukio kama hili linaweza kuwa staged kwa nia ya kupromote ushoga westeners will do anything to push the agenda
 
Ulishawah kuona masimba dume wakicheza hivyo!?nenda kaangalie videos za wanyama wengi madume wanapotaka kufanya hilo tendo anakaa vipi ni wazi kabisa huyo simba wa juu anatafuta tundu
 
Huyo simba anayebanduliwa si dume kama wanavyotaka tuamini, umbo lake tu linatosha kuamini kuwa si dume. Huyo ni simba jike mwenye manyoya kama mdau mmoja hapa jukwaani aliyetolea mfano mwanamke kuwa na ndevu.
From Simba KAPAKATWA to Simba KASUKUMIZIWA/KAPUMULIWA
 
Wa madume wa ng'ombe wa maziwa huwa wanapandwa kwanza na madume menzao. So yanapandanishwa ili yakatoe mbegu bora ili upate maziwa safi
You are misleading google "teaser bull in artificial insemination" and see how it is done
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…