Gaza City: Hamas wateka wanajeshi wanne wa Israel huku wakiwaua wengine 9 katika shambulizi la kushtukiza

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Kikosi cha wapiganaji wa al qassam kimefanya shambulio hivi Leo na kufanikiwa kuwateka wanajeshi wanne wa Israel na kuuwa wengine 9 na kuacha majeruhi wengi. katika tukio linaloendelea katika mji wa Gaza.
Helikopta 8 za jeshi la Israel zimeonekana zikibeba maiti na majeruhi kuwapeleka hospitali nchini Israel.
Mpaka sasa taarifa rasmi haijatolewa na jeshi la Israel.

Tuendelee kuwaombea wapiganaji wa kipalestina wanaopambana kutafuta Uhuru wa nchi Yao.
Screenshot_20250830-042225.png
 
Kila mara huwa namwambia KIBWENGO Ritz na Terrorist Sympathizer wengine kuwa IDF Ina military formation ambayo kama wanaitumia huwezi kuteka askari wake hata mmoja, ni kweli unaweza kuua lakini huwezi kabisa kuteka!!!

Lakini kwa sababu Wafuga Midevu na Majini silaha yao kubwa ni UONGO na UPOTOSHAJI acha waendelee kudanganyana na kuwadanganya wajinga na wapumbavu kama wao tu!!!!

Ngoja niwaulize swali moja toka Oct 07,2023 baada ya Israel kuanzisha vita huko Gaza hao Magaidi wa Hamas lini waliweza kuteka askari wa Israel? Swali la Pili watuonyeshe picha ya hao wanadai askari wa Israel waliowateka!!!

Nijuavyo Mimi Wafuga Midevu na Majini walivyo na Kiherehere kama kweli Wangekuwa wameteka askari wa Israel picha zingeenea mitandaoni lakini kwa kuwa ni uongo huwezi kuona hizo picha watabaki wanabwabwaja tu!!
 
Najuwa inauma kwakuwa unaamini wateule hawatekwi. Vumilia sindano iingie mlokole
 
Acha ujinga wewe!!! Tuwekee picha hapa tuone!! Lakini najua 100% ni uongo huna hizo picha maana mmekuwa wajinga kupitiliza kwa kuweka hapa jukwaani habari za uongo!! Hata jukwaa hili mmelifanya lisia mimikę kwa habari zenu mnazo copy kutoka kwa waarabu ambao ni waongo kupindukia!!

Kama wewe Mwarabu-koko unaamini habari hizo tuwekee picha tuhakikishe kitu ambacho huwezi kufanya!!!! Acha ujinga!!
 
Back
Top Bottom