Gaza City: Hamas wateka wanajeshi wanne wa Israel huku wakiwaua wengine 9 katika shambulizi la kushtukiza

Sasa miaka yote jeshi la Israel linapigana na migambo ya hamas haliwamalizi bado una imani nalo tu?
Tatizo lako unajitoa Ufahamu!!! Jeshi la Israel ni tishio huko Mashariki ya Kati mpaka huko Iran Wakilisikia tu wanafyata mikia yao!!

Tokea Oct 07,2023 Jeshi hilo la Israel limeweza kupambana kiume sehemu 7 kwa pamoja Jeshi hilo liliweza kupambana na Magaidi wa Hamas waliovamia Israel hapo hapo waliweza kupambana na magaidi mlikuwa mnawasifia na kuwaramba miguu kila wakati magaidi wa Hezbollah, waliweza kupigana na waasi waliokuwa Syria na Iraq na waliweza kupigana na magaidi walioko west-bank na waliendelea kuwapumulia kisogoni magaidi wa Houth huko Yemen na mwisho waliweza kuwakata ngebe baba wa Magaidi yote Mashariki ya Kati Iran ambaye katika vita vya siku 12 alipoteza makamanda wake 30+ na wanasayansi 60+.

Majeshi ya Israel yameweza kuvunja rekodi ya dunia ya kuweza kupigana na adui 7 frontlines na kuwashinda hakuna jeshi lolote duniani lililoweza kupigana 7 frontlines na kushinda zaidi ya majeshi ya Israel.

Kwa wiki iliyopita tu Jeshi hilo liliweza kusafiri zaidi ya KM 2,200 hadi Yemen na kufanikisha kuwaua mawaziri wa serikali ya Houth zaidi ya 10 na kuwajeruhi wengine wengi tu hayo ni mafanikio ya kijeshi ya hali ya juu sana!!!!!

Jeshi hilo halikuishia hapo tu liliweza ku tia adabu Msemaji Mkuu wa magaidi wa Hamas Abu Obaida aliyekuwa akiwabagaza na kuwakejeli Mateka wa Israel kipindi wanafanya makubaliano ya kubadirishana Mateka na wafungwa wa kipalestina ambaye naye aliuwawa yeye na familia yake yote baada ya jengo alilokuwa akijificha kushambuliwa na ndege-vita za Israel.

Ni wajinga na wapumbavu tu kama wewe ndiyo wanaweza kulibeza Jeshi mahiri kama Jeshi la Israel!!!
 
Wee bwabwa jinga shoga wenzio wanakufa huko na kutekwa kama kuku boi wewe unaleta propaganda zako pumbavu, tukiwaaambia IDF hawawezi kupigana na wanaume wa hamas mnabisha, endeleeeni tu kuua wanawake na watoto mbwa nyie
Nilimwambia Bwana wako Ritz atuwekee picha za askari wa Israel anadai wametekwa mpaka leo hii hajaweza kufanya hivyo maana alitudanganya!!

Waambie Magaidi wa Hamas waendelee tu kuwatumia wanawake na watoto kama Kinga yao lakini jeshi la Israel halitasita kuwapa vidonge vyao na Sasa hivi mtuambie huyo Gaidi Abu Obaida Mnasafirisha au mnazika hapo hapo? Webabu mdogoye Adiosamigo gTurn
 
Washushie nondo hawa kobazi wajinga wajinga
 
Nilimwambia Bwana wako Ritz atuwekee picha za askari wa Israel anadai wametekwa mpaka leo hii hajaweza kufanya hivyo maana alitudanganya!!

Waambie Magaidi wa Hamas waendelee tu kuwatumia wanawake na watoto kama Kinga yao lakini jeshi la Israel halitasita kuwapa vidonge vyao na Sasa hivi mtuambie huyo Gaidi Abu Obaida Mnasafirisha au mnazika hapo hapo? Webabu mdogoye Adiosamigo gTurn
Tatizo lako huwa unarukia kuleta kanga huna uhakika nazo ikiwa Israel wanasema hatuko 💯 sure kama tume muwa Abu Obaida. Walicho fanya wamenda piga nyumba mpya aliye pangisha Abu Obaida na huyo aliye wapangisha katoa siri au wale majirani ndio pale wakaenda kupiga target. Israel hana uhakika 💯 Abu Obaida time ile alikuwepo au hakuwepo na family yake hapo ni dalili wazi Israel hana lolote zaidi ya kuwatumia wale makhaini ili wawaonyeshe target za kupiga.

Israel huwa anatafuta watu wanao penda pesa anawarushia. Million ili wawasaidie, ili wajisifu eti Israel ana ona kila kitu hahaha.

Kama Abu Obaida kafa au hakufa hio siri anaijua Mungu mpaa mda hu.
 
Huko kwenye misikiti yenu mnadanganyana sana kuhusu Israel!!!
IDF ni kidume huko Mashariki ya Kati mpaka huko Uajemi tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini hamtaki kuambiwa ukweli mnapenda UONGO na UPOTOSHAJI tu.

Kwa taarifa yako Sasa Gaidi Abu Obaida karambishwa mchanga yeye na familia yake yote angalia picha hapo chini wakiokota vipande vya minofu yake!!! Abu Obaida alikuwa katili sana alikuwa anawabagaza sana mateka wa Israel na Sasa kafa kifo kibaya sana yeye na Mke wake,watoto wake na ndugu zake, Hii inaonyesha malipo ni hapa hapa duniani!!!
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    774.1 KB
  • IMG_4052.jpeg
    IMG_4052.jpeg
    22.7 KB · Views: 22
  • telegram_video.mp4
    4.3 MB
  • telegram_video.mp4
    3 MB
Huko kwenye misikiti yenu mnadanganyana sana kuhusu Israel!!!
IDF ni kidume huko Mashariki ya Kati mpaka huko Uajemi tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini hamtaki kuambiwa ukweli mnapenda UONGO na UPOTOSHAJI tu.

Kwa taarifa yako Sasa Gaidi Abu Obaida karambishwa mchanga yeye na familia yake yote angalia picha hapo chini wakiokota vipande vya minofu yake!!! Abu Obaida alikuwa katili sana alikuwa anawabagaza sana mateka wa Israel na Sasa kafa kifo kibaya sana yeye na Mke wake,watoto wake na ndugu zake, Hii inaonyesha malipo ni hapa hapa duniani!!!
Wewe nimeisha kuambia mnamjua Abu Obaida uso wake haha kufa ni si aibu je aliye kufa ni 💯 Abu Obaida. Hebu tupe habari ya uhakika nani aliye wambia huyo ndio Abu Obaida.
 
Safari

Hii Wafuga Midevu na Majini mtaimba Halleluya maana mnapigwa kotekote Wahouth wanaomboleza Mawaziri 10 waliouliwa na Hamas nao wanaomboleza kisirisiri kifo kibaya cha Msemaji wao mkuu Abu Obaida, Hezbollah nao jana wamepigwa vibaya sana na ndege-vita za Israel na sasa hapa JF waarabu-Koko wanachakazwa vibaya wengine wamezima mpaka simu.
 
We myahudi koko hivi hujui vita haishi kwa kuwauwa makamanda, we ngojea tuone Israel kama atashinda hi vita. Kelele nyingi za nini., ukitaka kujua Israel ni bwege kama kweli msemaji wa Hamas wamemuwa wanaona ndio wamepata ushindi wa kweli kweli msemaji anawatisha hivyo hahaha Hezbullah anajipanga we tulia kikinuka ndio utawajua Hezbullah.

Afu Abu Obaida yupo hai 💯 we endelea kutafuna .mihogo wamekufa watoto zake watatu.
 
Mateka wanaisaidiaje Hamas kwenye vita hii?
Kwanza kabisa wanawatumia kama Kinga ili wasishambuliwe na majeshi ya Israel maana wanajua wazi Israel haiwezi kupiga mabomu walipo watu wao!!!

Pili wanawatumia kama Bargaining-Cheap kuweza kupata/kuachiwa huru Magaidi wenzao waliofungwa kwa wizi,mauaji,Ubakaji na Ugaidi katika mage reza ya Israel.

Ndiyo maana hawataki kuwaachia wote maana wanajua nini kitakachofuata huko Gaza!!!
 
Hannibal protocol activated. Nafuu mwanajeshi wetu kufa kuliko kutekwa na Hamas. More bombs!
 
Back
Top Bottom