PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Baada ya Trump kumpa rungu Netanyahu kwa kumpatia silaha za kila aina ili kuingamiza Gaza.
Nchini Israel wameshatoa jina jipya Kwa eneo lote la Gaza baada ya kuondolewa wapalestina wote kwenda Egypt na Jordan
Katika mkutano wao Kati ya Trump na Netanyahu wamekubaliana kuwaondoa wapalestina wote ili kutengeneza Gaza mpya ambayo inaitwa west Israel.
Trump ameongea na waandishi wa habari na kuwaambia kuwa "haoni kama Israel inaweza kuachia Gaza tena bila Wapalestina wote waondoke"
Huu ni mfupa ngumu sana kwa Netanyahu na Trump kama wataweza kuwaondoa wapalestina, tuache tusubiri tuone itakuaje